Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Nani mimi au mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mimi au mleta mada
Asante, waliorudi walirudi mapema tu siku ya kwanza, baada ya hapo tulienda wote hadi barafu, lkn pale barafu wawili wakaumwa wakabaki pale......Hahaaaaa
Nilisoma posts zako pia.. Hongera na wewe kuweza kufika Peak..Group yenu wote mlifanikiwa wote kufika juu??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera sana. Tena wewe umepanda naona una ulemavu mguu mmoja mfupi (nmeona kwenye picha zako unavyosimama pole sister) na umeweza wengine wapo miguu yote fresh na hawawezi. Nmekupenda kwa ukakamavu wako kwa kweli.
Mguu haukuwa changamoto kwako?
Mmenichekesha nie watu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sio jiwe letu tunalolijua sisi, ni jiwe jabali/mwamba/rock.
Hata mimi niliposikia kubusu jiwe nilistuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli hunijui, sikujui sijawahi kulusha picha yangu.
Nakujua mdada,uko DSM mbezi Luis ..jina lako ni Irene Paul mbesigwe acha hizo...Si kweli hunijui, sikujui sijawahi kulusha picha yangu.
Mimi naitwa ustadhi Ikiriri Mrutu from bagamoyo@ makazi mafia na kilwa masokoSi kweli hunijui, sikujui sijawahi kulusha picha yangu.
Hahahaaaaaa sawa mamitoMpenzi mimi unipeleke tu kule kwingine maswala y kukosa hewa nayaogopa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nakujua mdada,uko DSM mbezi Luis ..jina lako ni Irene Paul mbesigwe acha hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.Kwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Expedition yuko sawa Ngorongoro ni Mamlaka ya hifadhi, na ndio maana haiko chini ya TANAPA embu jaribu basi hata Ku google update maarifa zaidiKwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Expedition yuko sawa Ngorongoro ni Mamlaka ya hifadhi, na ndio maana haiko chini ya TANAPA embu jaribu basi hata Ku google update maarifa zaidi
Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA NI MWAMBA NDIO MKUUSio jiwe letu tunalolijua sisi, ni jiwe jabali/mwamba/rock.
Hata mimi niliposikia kubusu jiwe nilistuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA NI MWAMBA NDIO MKUU