Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hahaaaaa

Nilisoma posts zako pia.. Hongera na wewe kuweza kufika Peak..Group yenu wote mlifanikiwa wote kufika juu??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante, waliorudi walirudi mapema tu siku ya kwanza, baada ya hapo tulienda wote hadi barafu, lkn pale barafu wawili wakaumwa wakabaki pale......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Tena wewe umepanda naona una ulemavu mguu mmoja mfupi (nmeona kwenye picha zako unavyosimama pole sister) na umeweza wengine wapo miguu yote fresh na hawawezi. Nmekupenda kwa ukakamavu wako kwa kweli.

Mguu haukuwa changamoto kwako?


duh..ana ulemavu?
 
Kwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chombo kinachoendesha ni mamlaka ila nayo ni hifadhi ya taifa kama nyingine, upekee wake ni kwamba ngorongoro hifadhi ambayo binadam na wanyama wanaish pamoja
Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom