Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

HUH! KUNA KUBUSU NA JIWE? DAMN
Nimesoma baadhi ya comments wamesema kuna sehemu route ya Machame pamekaa vibaya njia nyembamba sana halafu kuna steep slope na njia nyembamba,kwahiyo kupita hiyo sehemu inabidi ulikumbatie jiwe halafu unapita polepole sasa hapo ndio kupita kuna kasheshe mda mwingi unapotea hapo.
 
Nimesoma baadhi ya comment wamesema kuna sehemu route ya Machame pamekaa vibaya njia nyembamba sana halafu kuna steep slope na njia nyembamba,kwahiyo kupita hiyo sehemu inabidi ulikumbatie jiwe halafu unapita polepole sasa hapo ndio kupita kuna kasheshe mda mwingi unapotea hapo.
OOOH SAWA DUUH KUMBE YAHITAJI KUJIPANGA SANA KUFIKA HUKO KWA MAANA SIO KAZI RAHISI
 
OOOH SAWA DUUH KUMBE YAHITAJI KUJIPANGA SANA KUFIKA HUKO KWA MAANA SIO KAZI RAHISI
Kabisa uzi huu umetupa picha kamili ya huko maana nilikuwa nasikia tu watu "WANAKATA MOTO aka KURUDISHA NAMBA" wakiwa wanapanda mlima klm nikawa najuliza maswali mengi why wakate moto? Kumbe sio mchezo lazima upate ABCs za huku sio kuenda kichwa kichwa mwanangu(In Bishop Maboya's voice)

FOR SURE MKUU...MI YENYEWE NASOMA MDOGO MDOGO HINTS ZA HAPA NA PALE KULEKEA HUKO
 
Hongera sana. Tena wewe umepanda naona una ulemavu mguu mmoja mfupi (nmeona kwenye picha zako unavyosimama pole sister) na umeweza wengine wapo miguu yote fresh na hawawezi. Nmekupenda kwa ukakamavu wako kwa kweli.

Mguu haukuwa changamoto kwako?
😂😂😂Kuna viumbe mnajua kukagua picha imebidi niludi tena kuangalia.
 
Back
Top Bottom