Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,428
Hivi tokea kwenye hii thread hatuwezi kujiorganize, wale wenye nia thabiti!? Nawaza tu.Kuna watu tulipanga tupande mwezi wa tatu ila siku zinavyozidi kusogea tunazidi kukata tamaa!
Mie nakwambia nililia, nilivyomfikiria mtoto wangu, nikiangalia juu pale watu wanavyohangaika kupita kwenye jiwe....nikajiuliza hivi nimefuata nini huku, acha nimwage machozi[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hijui pozi ilo nawe,.😂😂😂Kuna viumbe mnajua kukagua picha imebidi niludi tena kuangalia.
Najua nilimjibu jamaa kwamba ni Pozi.Hijui pozi ilo nawe,.
Kilimanjaro hiking ni more than experience. Nilipanda August 2018 na tukalala kilimanjaro crater. Nikiwa mlimani niliulizwa utapanda tena nikajibu never. Kwa sasa natamani kupanda tena na tena ingawa kucha zangu za vidole gumba vya miguu ziling'oka kwasababu ya mlima
Natamani kila mtu apande Kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
ni option ya mgeni/mtalii. ila ukitaka kufurahia njia nzuri ni MARANGU au MACHAME
Milima ya kawaida[emoji41][emoji3]Ninauzoefu wa kupanda milima ya kawaida. Na Nahisi hata Kilimanjaro Naweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila natamani sana ila naogopa kufa.. Hongera sana heaven
Sent using Jamii Forums mobile app
I had full preparation but tulilala crater na kwasababu ya baridi ya crater nilivaa soks zote asubuhi sikutaka kuzipunguza nikavaa hiking boots tukaanza safari ya kurudi so viatu kubana ndio hapo kucha zikaharibikaMkuu kucha za vidole vya miguu ziling'ookaje? ulikuwa umevaa kandambili au? manake kabla ya kupanda mlima Kilimanjaro ni lazima ufanye preparation ya vitu vifuatavyo:
1.Viatu vigumu (Boots) lakini viwe vyepesi ili kukusaidia kutembea bila kuchoka.
2.Soksi pair 4 ndefu safi na nzito.
3.Mycotta powder.
4 Gloves safi zenye sufi ndani.
5.Jacket au pullover zito.
6.Boshori lile kofia la sweta linalofunika kichwa na kuacha sehemu ya macho tu.
7.Miwani nyeusi kupunguza mng'ao wa theluji.
7.Climbing stick
8.Kibuyu au chupa ya maji.
9.Back pack kwa ajili ya kuhifadhi vitu vidogo vidogo kama glucose,biscuits,juice n.k.
Hayo ndio mahitajio ya msingi unayotakiwa kuconsider kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna msimu barafu inakua ndogo sanaa. inshort hali ya hewa haiwi na snow kipindi chote cha mwakaKwa hizi story huwa najiuliza sana Iceman hof aliwezaje kupanda huo mlima akiwa hana mavazi ya kujikinga baridi na kupanda kwa mda mfupi sana.
Kweli kabisa. Tukajipangia atleast kila mtu aweke pembeni walau laki. Then mwezi wa nane twende.Hivi tokea kwenye hii thread hatuwezi kujiorganize, wale wenye nia thabiti!? Nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona ulikutana na rafiki yangu rasta mpishiWewe umewahi kupanda???
Hao Wanaweza kuwa inspired kupanda. Mimi aliyenihamasisha sana kupanda ni member wa huku anaitwa kiwatengu so you never know
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yes, hatutaulizana ID zetu za JF.Kweli kabisa. Tukajipangia atleast kila mtu aweke pembeni walau laki. Then mwezi wa nane twende.
Hakuna haja ya kujuana usernames zetu za jf tukikutana. Maana hiyo ndio hofu ya wengi kwamba tunafuatiliwa [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Let's do this guys!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipanda kwa route hii mwaka 2007 tena da time been kama Porter, acha kabisa,7 times
Mkiwa wengi gharama inashuka.Yes, hatutaulizana ID zetu za JF.
Ila mkuu laki haitatosha, kwa mujibu wa HOE na wachangiaji wengine walivyoelezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuunga mkono mangiHongera sana watanzania tupende kutembelea vivutio katika nchi yetu.wengi tumeishi na kukaa katika mazingira ya karibu na mlima Kilimanjaro lakini hatujawahi kuupanda.umenishawishi sana kuanza matayarisho ya kupanda mlimani ikiwezekana Kuanzia julai na Agosti 2019 nitimize lengo langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jicho la Tatu...