Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Mie nakwambia nililia, nilivyomfikiria mtoto wangu, nikiangalia juu pale watu wanavyohangaika kupita kwenye jiwe....nikajiuliza hivi nimefuata nini huku, acha nimwage machozi[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂mie bado sijapata point hapa😂😂yaan njia ina madhoruba lakini bado unasonga mbele🖐🖑🖑😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌..mie ningerudi bila kuaga..
 
Kilimanjaro hiking ni more than experience. Nilipanda August 2018 na tukalala kilimanjaro crater. Nikiwa mlimani niliulizwa utapanda tena nikajibu never. Kwa sasa natamani kupanda tena na tena ingawa kucha zangu za vidole gumba vya miguu ziling'oka kwasababu ya mlima

Natamani kila mtu apande Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂😂nacheka mm jamn khaaa 😂😂hadi kucha?🙌🙌🙌
 
Ninauzoefu wa kupanda milima ya kawaida. Na Nahisi hata Kilimanjaro Naweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila natamani sana ila naogopa kufa.. Hongera sana heaven

Sent using Jamii Forums mobile app
Milima ya kawaida[emoji41][emoji3]

Kwakweli HOE anastahili pongezi sana. Nimegundua pia kuna watu kibao humu walishapanda lkn hawakuwahi kuwaza kuleta bandiko kama hili ili kuinspire wengine kupanda. Kongole nyingi kwa mrembo HOE.

Na wale vidume waliokuwa hawaamini JF ina visu, leo wamejionea[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kucha za vidole vya miguu ziling'ookaje? ulikuwa umevaa kandambili au? manake kabla ya kupanda mlima Kilimanjaro ni lazima ufanye preparation ya vitu vifuatavyo:
1.Viatu vigumu (Boots) lakini viwe vyepesi ili kukusaidia kutembea bila kuchoka.
2.Soksi pair 4 ndefu safi na nzito.
3.Mycotta powder.
4 Gloves safi zenye sufi ndani.
5.Jacket au pullover zito.
6.Boshori lile kofia la sweta linalofunika kichwa na kuacha sehemu ya macho tu.
7.Miwani nyeusi kupunguza mng'ao wa theluji.
7.Climbing stick
8.Kibuyu au chupa ya maji.
9.Back pack kwa ajili ya kuhifadhi vitu vidogo vidogo kama glucose,biscuits,juice n.k.
Hayo ndio mahitajio ya msingi unayotakiwa kuconsider kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima.

Sent using Jamii Forums mobile app
I had full preparation but tulilala crater na kwasababu ya baridi ya crater nilivaa soks zote asubuhi sikutaka kuzipunguza nikavaa hiking boots tukaanza safari ya kurudi so viatu kubana ndio hapo kucha zikaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tokea kwenye hii thread hatuwezi kujiorganize, wale wenye nia thabiti!? Nawaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Tukajipangia atleast kila mtu aweke pembeni walau laki. Then mwezi wa nane twende.

Hakuna haja ya kujuana usernames zetu za jf tukikutana. Maana hiyo ndio hofu ya wengi kwamba tunafuatiliwa [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Let's do this guys!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Tukajipangia atleast kila mtu aweke pembeni walau laki. Then mwezi wa nane twende.

Hakuna haja ya kujuana usernames zetu za jf tukikutana. Maana hiyo ndio hofu ya wengi kwamba tunafuatiliwa [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Let's do this guys!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, hatutaulizana ID zetu za JF.

Ila mkuu laki haitatosha, kwa mujibu wa HOE na wachangiaji wengine walivyoelezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole na Hongera sana mdada Heaven on Earth , nafikiri hii itakua moja ya post bora ya 2018 sijawahi kuhamasika kupanda licha ya kuwa na ndugu alikua anafanya.kazi pale marangu lango la.kuingia kupanda mlima me nikaishia pale waterfalls lakin kwa jinsi ulivyosimulia nimeshwishika sana mdada anapanda mlima mimi nashindwa hata kujaribu ingekua vizuri kama ungekua umechukua video ungeitengenezea TV show nzuri na utafute kituo bora cha TV urushe kipindi maana TBC hamna anaetaka kuangalia hata kama wanaonyesha.
SWALI : Je toka umapanda umeshawahi.kufikiria kupanda tena na kama ndio ilikutumia muda gani kufikiri kupanda tena?
 
Hongera sana watanzania tupende kutembelea vivutio katika nchi yetu.wengi tumeishi na kukaa katika mazingira ya karibu na mlima Kilimanjaro lakini hatujawahi kuupanda.umenishawishi sana kuanza matayarisho ya kupanda mlimani ikiwezekana Kuanzia julai na Agosti 2019 nitimize lengo langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
nakuunga mkono mangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom