Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Kilimanjaro hiking ni more than experience. Nilipanda August 2018 na tukalala kilimanjaro crater. Nikiwa mlimani niliulizwa utapanda tena nikajibu never. Kwa sasa natamani kupanda tena na tena ingawa kucha zangu za vidole gumba vya miguu ziling'oka kwasababu ya mlima

Natamani kila mtu apande Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kulala crater ulitumia route ya muda mrefu kidogo
 
Kuna kampuni ya uokoaji niliona mwaka jana kwe tamasha la utalii wana helkopta kwa wale wageni waliozidiwa ..ila haishauriki..kwa njia ya marangu wanahuo mgari wao benz nadhan unaenda hadi mandara ule
Inawezekana kupanda kwa helicopter.?
 
Nimefuatilia post zote pamoja na michango yote inayofikia 500.

Nimekuwa na hamu sana ya kuupanda huo mlima na nimefurahi mno kuona ushuhuda huu. Heaven on Earth Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa ushuhuda huu.

Mipango yangu ni mwakani lazima nipande panapo uzima.

BTW, you are a good story teller. Nikikamilisha maandalizi ya kimwili (physical) ntahitaji ushauri wako pamoja na kiwatengu kuhusu tour guides na mambo yanayohusiana na hayo.

Cheers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu.
Heaven on Earth yuko vizuri sana.
 
Kuna kampuni ya uokoaji niliona mwaka jana kwe tamasha la utalii wana helkopta kwa wale wageni waliozidiwa ..ila haishauriki..kwa njia ya marangu wanahuo mgari wao benz nadhan unaenda hadi mandara ule
Ina maana katika hio njia magari yanafika hadi juu or?
 
AISEE NITUMIE NAFASI HII KUMSHUKURU HEAVEN.TOKA NILIVYOPANDA 2012 IMEKUA NI SENSE OF ACCOMPLISHMENT WITHIN,ILA YEYE KUILETA KIHIVI AMESAIDIA KULETA MEMORIES NYINGI SANA..NMEWEZA CONVICE NDUGU ZANGU SO NADHAN MAY TUTAPANDA AS A FAMILY TRIP NASHAURI WATU WENGI WAJITOKEZE NA TO TELL YOU THE TRUTH..ULE MSEMO "THAT DONT KILL YOU ONLY MAKES YOU STRONGER "MI NMEKUA NAUTUMIA FIRST HAND BAADA YA KUFIKA KILELENI. HEAVEN UKIWEZA FANYIA KAZI UANDIKIE KITABJ YOUR A GOOD STORY TELLER...INSHAALAH

425220_3148268959373_297469030_n-1.jpeg


417065_3148265959298_1610340338_n.jpeg


431618_3148273319482_515146366_n.jpeg
 
Back
Top Bottom