kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Don't Give up....Kuna watu tulipanga tupande mwezi wa tatu ila siku zinavyozidi kusogea tunazidi kukata tamaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't Give up....Kuna watu tulipanga tupande mwezi wa tatu ila siku zinavyozidi kusogea tunazidi kukata tamaa!
Hii ni kawaida msimu wa Winter...Aiseee si mchezo kweli mlipata tabu sana yaani BARAFU/SNOW kama YOTE VILE,Picha nyingi hiko kibao kinaonekana vizuri ila kwa nyie hadi nguo zimeganda.
View attachment 983213
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kulala crater ulitumia route ya muda mrefu kidogoKilimanjaro hiking ni more than experience. Nilipanda August 2018 na tukalala kilimanjaro crater. Nikiwa mlimani niliulizwa utapanda tena nikajibu never. Kwa sasa natamani kupanda tena na tena ingawa kucha zangu za vidole gumba vya miguu ziling'oka kwasababu ya mlima
Natamani kila mtu apande Kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kupanda kwa helicopter.?
Gharama zinatofautiana mkuu, kuanzia Idadi, route na siku utakazotumia...Kiwatengu nieleweshe kuhusu gharama kuna mdau kasema ni laki 5 mpka mil ikoje hii.
Karibu mkuu.Nimefuatilia post zote pamoja na michango yote inayofikia 500.
Nimekuwa na hamu sana ya kuupanda huo mlima na nimefurahi mno kuona ushuhuda huu. Heaven on Earth Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa ushuhuda huu.
Mipango yangu ni mwakani lazima nipande panapo uzima.
BTW, you are a good story teller. Nikikamilisha maandalizi ya kimwili (physical) ntahitaji ushauri wako pamoja na kiwatengu kuhusu tour guides na mambo yanayohusiana na hayo.
Cheers.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana katika hio njia magari yanafika hadi juu or?Kuna kampuni ya uokoaji niliona mwaka jana kwe tamasha la utalii wana helkopta kwa wale wageni waliozidiwa ..ila haishauriki..kwa njia ya marangu wanahuo mgari wao benz nadhan unaenda hadi mandara ule
Inawezekana kabisa mkuu.Hivi tokea kwenye hii thread hatuwezi kujiorganize, wale wenye nia thabiti!? Nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalitamani sana! Nahisi itakuwa ni achievement yangu kubwa sana kuifikia. Tuombe uzimaInawezekana kabisa mkuu.
I will support you
Mkuu Route ya Marangu inawageni fixed... Ni mpaka ufanye booking wakati Machame haiitaji booking ni camping route...ni option ya mgeni/mtalii. ila ukitaka kufurahia njia nzuri ni MARANGU au MACHAME
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Route ya Marangu inawageni fixed... Ni mpaka ufanye booking wakati Machame haiitaji booking ni camping route...
Sema Mapota mwisho wenu Barafu...N
Nilipanda kwa route hii mwaka 2007 tena da time been kama Porter, acha kabisa,7 times
Lofa wewee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Mpenzi mimi unipeleke tu kule kwingine maswala y kukosa hewa nayaogopa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni expensive kidogo kuliko Marangu.
machame ndipo mlima umesimama zaidi?Ni expensive kidogo kuliko Marangu.
1. Huwezi kwenda chini ya siku 6.
2. Wasaidizi/porters lazima waongezeke kidogo kwa sababu kuna wa kubeba tents, mahema mnatembea nayo...
Tofauti ya Machame na Marangu ni Acclimatization, Machame iko vizuri.