Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Kwa hio Kasie mpaka umri huo ulionao haujawahi kufika kileleni?

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 

Ni ukweli.. Sisi wengi walikua wanashangaa kwamba ni watanzania maana wengi wanaopanda ni foreigners... Ukimwambia ni Mtanzania nimetokea DSM anaona kitu cha ajabu..


Siku ukianza kupanda na ukahitaji msaada wa aina yoyote wala usisite kunicheki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money anza mazoezi kabisa mwakani panapo majaaliwa twende wote tukapande mlima tena nihakikishe nakufikisha kileleni ili usije ukaleta lawama hapa kua nimekupandisha mlima lkn sijakufikisha kileleni.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unataka twende lini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mie kileleni nafika..ni ww tu na uanze mazoez mapeeema๐Ÿ”ฅ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka twende lini[emoji23][emoji23][emoji23] mie kileleni nafika..ni ww tu na uanze mazoez mapeeema[emoji91]
Mi niko vzr nnapumzi za kutosha kabisa wewe anza kabisa zoezi la kupandisha milima ya uluguru ili tukienda kilimanjaro nikufikishe kwe kilele cha kibo.

Maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ