Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Watu wengi hasa wazazi huhofia sana watoto wao kwenda kule kutokana na historia ya matukio ya watu wengi waliowahi kufia humo wakijaribu kuogelea au kuvua samaki kienyeji. Kinachowaponza mara nyingi ni hichocho ulichosema kwamba lina kitu kama slope hivi mita chache tu kutoka ufukweni, ukiwa hapo pembeni tu unadanganyika upo salama, ukisogea kidogo huwezi tena kujitoa labda uwe na ujuzi wa kuogelea kwenye maji marefu, pia lina mamba wengi na nyoka.Isitoshe inasemekana upo mkondo wa maji unaopita chini kwa chini unaosababisha eneo fulani katika ziwa hili pawe na nguvu mfano wa presha inayovuta kwa chini, ukisogelea eneo hilo umekwisha, unafyonzwa unaenda kuokotwa ziwa jirani la JIPE ukiwa tayari umeshakufa.
 
hongera sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heaven on earth mimi acha nichukue mazoezi ya milima Mdogo mdogo ili siku nikipanda niwe na uzoefu angalau .
 
Uzi unaogezeka pages unadhani Dada kaendeleza stori kumbe kuna vibibi vinapiga umbea!.
Andikeni zenu mpige umbea,au amewambia anataka replies nyingi?
Shame!
Mkuu hii ni tabia mbaya Sana, hujui wengine na Mimi tunapata vitu vipya kupitia hizi replies za wenzetu. Kuna wadau wanajua kusimulia humu sijawahi kuona.

Shikamoo jf,


Marahaba maxence mero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi unaogezeka pages unadhani Dada kaendeleza stori kumbe kuna vibibi vinapiga umbea!.
Andikeni zenu mpige umbea,au amewambia anataka replies nyingi?
Shame!
Nafikiri @Moderators kupitia uzi huu waanzishe jukwaa rasmi linalojitegemea na utalii tu.

Kuwe na utalii wa ndani peke yake na wa nje peke yake.

Sina uhakika kama jukwaa hilo lipo maana mobile app nayo ina limitations za kuperuzi around.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi unahamasisha sana huu,
Maxence Melo chukua ushauri huu.
Wengi tumehamasika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…