Mkuuu umesema umefika juu pale mara 4... je lile shimo pale juu katikat kuna nn....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikulala creta ila nilipita tuu huwezi kujua kilichopo ila utasikia harufu kali ikitokea chini. Kuna baadhi ya kampuni kazi inaweza kulala creta hapo ndio utaposema kilichomtoa kanga manyoya. Ila dolla huwa zinakua nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo creta siiipo juu hapo kbsaa mkuu hapo uhuru summit ambapo mwandish alisema alikaa dakika 1 tu nakurud...? Au ..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni hapo hapo ila huwezi kuona ndani kozi kuna ukungu. Kuna watalii wengine wanapenda kulala hapo sana sana wajerumani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana. Mimi ni mjasiri na niliiua mgumu sana kipindi hicho kiafya na kila kitu ila sikuweza kuka sekunde baada ya kupiga pichaSiku nikipanda huu mlima nikafika juu lzm niende hapo crater nijue kuna nini ikiwezekana niingie humo nichunguze... mwandish amezengua huwez fika hapo juu na kukaa dakika moja nakugeuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaje hao wazungu wanaweza kulala hapo....?Ni ngumu sana. Mimi ni mjasiri na niliiua mgumu sana kipindi hicho kiafya na kila kitu ila sikuweza kuka sekunde baada ya kupiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo utashangaa. Ukipata pota alishawahi kulala hapo then apate kazi ingine anakataa
TANAPA, BASATA NA BAKITA MFUNGIENI MILELE HUYU ASHIKE ADABU.Money anza mazoezi kabisa mwakani panapo majaaliwa twende wote tukapande mlima tena nihakikishe nakufikisha kileleni ili usije ukaleta lawama hapa kua nimekupandisha mlima lkn sijakufikisha kileleni.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Kwa kwel n muhimu kulala pale crater AISEE.....Hapo utashangaa. Ukipata pota alishawahi kulala hapo then apate kazi ingine anakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio muhimu kabisa hasa hasa kwa viumbe wa kusini mwa jangwa la sahara kwa kuwa hatujazoea baridi kabisa.
Leomosho ni sehem gan rombo au marangu.... na vp ile crater katikat pale ulipaoona..? How many minutes ulikaa Hapo summitHONGERA SANA
MIMI NILIPANDA KUPITA ROUTE YA LEOMOSHO
WAS VERY ADVENTUROUS
Naona ulikuta kibao cha summits (4895M) kimefunikwa na barafu???
MIMI NILIKIKUTA KIPO WAZI KABISA (MWEZI SEPTEMBA)
Nasikia huyu ni wewe Shunny afu hujaleta mbwembwe ka HeavenNenda na camera bwana hiyo rithisha kabisa