Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Ni shilingi ngapi kwa safari yote.

Nataka nitafute sponsor.
 
Ni shilingi ngapi kwa safari yote.

Nataka nitafute sponsor.
Gharama inategemeana na kampuni itakayokupandisha na msimu. Ila andaa si chini ya milioni 1 maana kuna kulipa kampuni pamoja na tips kwa wapagazi, wapishi na guide, hila hii siyo lazima na haina kiwango licha ya kuwa wao wanaona kama haki yao.
 
Gharama inategemeana na kampuni itakayokupandisha na msimu. Ila andaa si chini ya milioni 1 maana kuna kulipa kampuni pamoja na tips kwa wapagazi, wapishi na guide, hila hii siyo lazima na haina kiwango licha ya kuwa wao wanaona kama haki yao.
Hiyo 1M ni kwa kichwa kimoja ???
 
Ndio, ila mkiwa wengi gharama inapungua maana kuna baadhi ya vitu mtachanga, ila kwa mimi sikufika gharama hiyo ya 1m
HEBU TUPE SIRI HII
wanapodai watafunga vitoroli vya umeme, kupandisha watalii huko mlimani kuna dalili yoyote na kuna faida au itapunguza Adventure za huko njiani
mm nilishakuja mpaka pale Getini maana kifua kinabana kuhema sijui ni Mlima naishiaga kushangaa tu Lyasomboro na Marangu mtoni,
Labda hivyo vitoroli vya umeme wakivifunga havitafika milioni moja kwa Trip, natamani sana kupanda huko
 
Inshallah, my cousin and I are scheduled to go Dec 28- Jan 2. I have been training and I am praying my body iniruhusu nifike mwisho. Otherwise, all this gear tumenunua, let a lone pesa za kupanda will be a real waste!!!
Hope you made it...what matters is experience...not much about reaching the top
 
Hope you made it...what matters is experience...not much about reaching the top
So we ended up calling quits at 5400m, about an hour or so to Gilman's Point due to Altitude sickness. In my humble experience the climb from Mandara to Horombo and Kibo to the summit were the hardest... zingine zilikuwa powa
Ila sijafa Moyo. I am contemplating giving this a do-over as My BF wants to do an attempt end of 2021.
 
How was the challenge?
  • Gate to Mandara was OK
  • Mandara to Horombo was quite taxing. (Jua, Makongoro na mawe everywhere)
  • Horombo to Kibo was OK though we got rained on
  • Kibo to summit ni Kimbembe!!!!!!!!!!!! Plus, since it was late at night, there was also "usingizi" to contend with.................aaaaaaaaaaargh.
 
Hongera sana, mi naona nasogeza tu mda wa kufanya hii challange.
 
congrats ,,you should cherish that experience ..Did my climb in 2014 and manage to reach uhuru peak..am open for any advice if needed arise
 
Nimekuja mbimbio
Nimekuja mbio mbio nikihema nilidhani na wewe ulikuwa mojawapo wa Team Kingwangwala mliopanda Mlima Kilimanjaro ili ''kuitangaza ''Tanzania akisirikiana na Wasafi.
 
Asante sana kwa maelezo na picha na ndio maana watu wengi walishauriwa kuwekwe vigari vya nyaya kama ilivyo Mout Table kule SA na kama kule Swiss Alpine na sehemu nyingine nyingi za utalii duniani, lakini mheshimiwa wa '' nje ya box'' kwa sababu anazozijua yeye alipinga sana, watu wengi wanataka kufika kileleni mwa Mlima Kilimanjaro hata wale ambao ni walemavu ,wakiweka hizo cable car zitasaidia watu wengi kufika kileleni na kufurahia maisha,dunia imebadilika lazima tuendane na usasa, na fursa za teknolojia, kuwa na cable car pia kutapunguza vifo visivyo vya lazima, uhai ni kila kitu.
 
Hivi pale juu kabisa kwenye kilele haiwezekani kujengwa kama Hotel ya vyumba kama 20 ili watu waweze kukaa kama siku 2 kabla ya kuanza safari ya kushuka chini...?
 
Daaaaah karibu sana mpendwa ningetamani nikufahamu ukija dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…