Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

nakwabia ukweli, njia ya Marangu hizo sehem zipo
Mkuu njoo utumie route nyingine, Marangu ni njia rahisi ila kihewa haijakaa vizuri.
I propose Machame for you....
Hii haina hizo changamoto za hali ya hewa, like uliyoikuta jiwe la ukoyo na saddle, pia inawezekana ulipata shida kwasababu ulipanda kwa siku 5 tu, no acclimatization...
Don't Give Up through only one way. Jaribu na nyingine ni tamu tu!!!
 
kiwatengu

Hebu tusaidie kufafanua advantages and disadvantages za kila route ya kwendea huko Uhuru peak.

Maana hiyo route ya marangu ingawa inaonyesha ni exciting trip ila roho mkononi imezidi.

Na je hizi route zingine vifo zinatokea pia? Vyanzo nyake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu njoo utumie route nyingine, Marangu ni njia rahisi ila kihewa haijakaa vizuri.
I propose Machame for you....
Hii haina hizo changamoto za hali ya hewa, like uliyoikuta jiwe la ukoyo na saddle, pia inawezekana ulipata shida kwasababu ulipanda kwa siku 5 tu, no acclimatization...
Don't Give Up through only one way. Jaribu na nyingine ni tamu tu!!!
Kiwatengu ni porter ? Nataka nipande Mt KLM mwaka huu,Challenges zipi zilizopo Machame route? Ndio huko lazima ubusu jiwe na mkae masaa matano kupita kwenye hilo jiwe?
 
Huo mlima siji panda tena hata nipewe pesa, ninakumbuka nlitaka kukata moto ukitoka Last water sasa pale panaitwa Saddle... pana hewa ya hovyo sana. Kufika jiwe la ukoyo ni balaa, dah Kibo palinitosha sana, kama una roho ndogo usijaribu kupanda mlima huo.
Hahahaaa eti ulitaka "KUKATA MOTO'
 
Back
Top Bottom