SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,328
- 2,228
Aisee....kumbe hapo mwishoni umemaanisha "nchi gani" [emoji13] [emoji13]kwa mimi guider wetu alikua anatueleza hili baridi ni kali mpk akutupa mfano kuna baadhi ya wageni wake washashindwa kufungua zip wajisaidie haja ndogo walikua njiani so yeye ndo ikambidi amfungulie na amshushie nguo ajisaidie na ukizingatia anakwambia alikua ni mdada huyo sema ckuweza kumuulizia uyo mzungu alikua wa nchi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app