Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Kuna mengi ya kujifunza kutoka simulizi ya HOE ila kuna kubwa nimelitafakari kuhusu mhusika Fredy kama personal guide.

Sisi wote katika maisha yetu tuna nafasi moja au zaidi kuwa guide aidha ya kumuongoza mtu au kundi kufikia kilele cha mafanikio au kilele cha kutimiza malengo.

Tunawahitaji watu ma guide au porter ambao ni wema kama Fredy wanaoweza kututia moyo na kutuhurumia kipindi tunapambana kufika hatua fulani katika maisha yetu.

Licha ya kuwahitaji akina Fredy kama ma guide ila pia tunao wajibu wa sisi pia kuwa na moyo kama wa Fredy ili kuwawezesha na kuwasaidia wafike kileleni.( tuwafanyie wengine vile tungependa na sisi tufanyiwe)

Na watu kama Fredy/guide ni lazima tuwape heshima zao kwa kutambua thamani na umuhimu wao katika maisha yetu( jambo ambalo HOE amelifanya kwa kutambua na kumpa credit guide)

Tujiulize na kutafakari sote, je mimi na wewe tumewasaidia na kuwawezesha wangapi katika mambo tunayoyajua au tuliofanikiwa kuwafikisha wengine kilele cha mafanikio?

Tunahitaji kuwa kama Fredy katika vipindi vya maisha yetu na pia tunahitaji kujifunza kwa HOE kwa kutambua na kueleza umuhimu wa watu kama Fredy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana kwa tafsiri nzuri. Pia mpangilio wa kuandika huwa unanivutia kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Miliband mwa1998..i was 23 years with a Training for life group..Munguishi..Theology college..nduruma..Mererani.Arusha Na advocate wa Mishawaka kuu.Mbunge wa Moshi2020..Esq Elikunda George Kipoko...Tumaini Geofrey..Conk Mr
 
Well said bro[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji2935]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Miliband mwa1998..i was 23 years with a Training for life group..Munguishi..Theology college..nduruma..Mererani.Arusha Na advocate wa Mishawaka kuu.Mbunge wa Moshi2020..Esq Elikunda George Kipoko...Tumaini Geofrey..Conk Mr

Unaweza kusoma tena na kututafsiria umeandika nini? Je, kinauhusiano wowote na hii thread?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko naandika part ya mwisho.. halafu nikiisoma mimi mwenyewe natamani kulia... It takes me back to Kilimanjaro.

Nita update kesho asubuhi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nice HOE.....wewe ni muandishi mzuri, mie pamoja na kupanda kwangu ule mlima siwezi kuandika hivi, mfano nikiandika ile part tu ya kutoka barafu kwenda kusummit naweza andika gazeti na hayo ni masaa tu wakati safari nzima ilikuwa ya siku saba....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE UNASUMBULIWA NA WADUDU KAMA KUNGUNI, MENDE, NZI, MBU.... wadudu wotee watambaao na Watusi.

KARIBU M.I FUMIGATION MSIMU HUU WA SIKUKUU
TUKUPULIZIE DAWA ZA KUUWA WADUDU MAJUMBANI, OFISINI, KWENYE BUSTANI, SHAMBANI NA MAZINGIRA MBALIMBALI KWA BEI PUNGUFU YA 20%. TUNATOA HUDUMA BORA, HUTOJUTIA DAIMA.

TUPO DSM-UBUNGO EXTERNAL
CALL : 0655166597, 0766006509.
KARIBU. TUKUFANYIE USAFI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemaliza kupanda ml. Kilimanjaro kwa hisia na maandish haya ya mdada mleta mada amenihamasusha japo wazo lilikuwa of ila sikujua Lin ntauoapanda japo nipo karibu na huo mlima, binafsi nimeamua nitapanda mwez wa tatu na wanane naanza na machame route namalizia na marangu route kwa mlio tayari kwenda kwa mwezi March tujiogarnize tuweke nia kabisa J'mos ntaenda Moshi au marangu kabisa kujua cost halisi na vigezo na masharti kwa mlio tayari tufanye Kama unajikuna hv tuone itakuaje.

SIPOKEI KIASI CHOCHOTE CHA PESA KUTOKA KWA MTU KWANIA YA KUCHANGISHA ILI KULIPIA BALI NAPOKEA MIALIKO SERIOUS KWA AJILI YA TOUR HII

Heaven on Earth, unaeza kutujazia nyama kidogo za kampun nzur zinazotoa huduma nzuri naamini Kuna kampun uliziona zinatoa huduma mbovu au nzuri kuliko hyo uliotumia naomba kuwasilisha Alie tayari tujijue mie napatikana Arusha.
 
Mimi Miliband mwa1998..i was 23 years with a Training for life group..Munguishi..Theology college..nduruma..Mererani.Arusha Na advocate wa Mishawaka kuu.Mbunge wa Moshi2020..Esq Elikunda George Kipoko...Tumaini Geofrey..Conk Mr
HABARI MKUU ? kwema huko?
ulikua unataka kutufahamisha nini
kwenye hii comment yako kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka simulizi ya HOE ila kuna kubwa nimelitafakari kuhusu mhusika Fredy kama personal guide.

Sisi wote katika maisha yetu tuna nafasi moja au zaidi kuwa guide aidha ya kumuongoza mtu au kundi kufikia kilele cha mafanikio au kilele cha kutimiza malengo.

Tunawahitaji watu ma guide au porter ambao ni wema kama Fredy wanaoweza kututia moyo na kutuhurumia kipindi tunapambana kufika hatua fulani katika maisha yetu.

Licha ya kuwahitaji akina Fredy kama ma guide ila pia tunao wajibu wa sisi pia kuwa na moyo kama wa Fredy ili kuwawezesha na kuwasaidia wafike kileleni.( tuwafanyie wengine vile tungependa na sisi tufanyiwe)

Na watu kama Fredy/guide ni lazima tuwape heshima zao kwa kutambua thamani na umuhimu wao katika maisha yetu( jambo ambalo HOE amelifanya kwa kutambua na kumpa credit guide)

Tujiulize na kutafakari sote, je mimi na wewe tumewasaidia na kuwawezesha wangapi katika mambo tunayoyajua au tuliofanikiwa kuwafikisha wengine kilele cha mafanikio?

Tunahitaji kuwa kama Fredy katika vipindi vya maisha yetu na pia tunahitaji kujifunza kwa HOE kwa kutambua na kueleza umuhimu wa watu kama Fredy.

Sent using Jamii Forums mobile app
HOE utapo pata nafasi ya kuandika hii story somewhere else usisahau kipengele Cha Fred kama jamaa alivyomuelezea

Kitabu process zake ni ndefu halafu kinahitaji a lot of promotion.
Jaribu kucheck na jamaa wa Raia Mwema, Thé Citizen au Thé East Africa waitoe ktk séries

All thé best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambie tuu hizo nguvu za kutaka kugegeda hutakuwa nazo hata ukiwekewa hapo haugusi, si ajabu ukawa umeanza kulia ukifika mandara, wata wanagegedana makishuka mlimani kulipana fadhila ya yaliyotokea huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo inawezekana kabisa dada yetu alitafunwa na yule porter Fred ili kulipa fadhila [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom