Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Lizzy naomba muongozi wako tafadhali, kwa nini part 3 imekuwa fupi sana? nasubiri tena mwendelezo

By the way nice one

OaO muda mtu wangu...ntajitahidi itakayofuata iwe ndefu mpaka ufurahi!!!
 
Inabidi tuilipie hii kitu,
Story tamu halafu bureee!
Thanx Lizzy!
 
Inabidi tuilipie hii kitu,
Story tamu halafu bureee!
Thanx Lizzy!

Hehehe...ngoja nikifika katikati ntawambia kila anaetaka kujua mambo yataishaje anunue kitabu!
 
Hehehe...ngoja nikifika katikati ntawambia kila anaetaka kujua mambo yataishaje anunue kitabu!
hapo sawa... manake tukiendelea kuipata for free tutakuwa hatuthamini kazi yako na juhudi zako!
 
Mbona ipo....baada ya maandishi ya BLUE kwenye post ya kwanza!!
<br />
<br />
n&#305;weiona bt nahc bado ha&#305;jaf&#305;ka mw&#305;sho,jaman&#305; mal&#305;z&#305;a bas&#305; l&#305;zzy!
N&#305;me&#305;penda story kwa kwel&#305;,la&#305;t&#305; kama &#305;ngekuwa na maudhu&#305; ya blog yangu n&#305;nge&#305;chukua,lak&#305;n&#305; blog yangu n&#305; ya maudhu&#305; tofaut&#305;
gonga hapa uone
www.gshayo.blogspot.com
 
imekaa vizuri hiyo, ila kwa kukimega kile kipande, ni kama unaninyanyapaa mimi Lizzy
 
imekaa vizuri hiyo, ila kwa kukimega kile kipande, ni kama unaninyanyapaa mimi Lizzy

Hahahha sijakunyanyapaa bwana...kitakuja wakati ukifika.Mwenyewe utafurahi kwamba nilikiacha kwanza!!

Dio ntajitahidi ila kuisha bado bado.Itabidi muwe na mimi kwa muda kidogo‘!
Nimechungulia blog imekaa vizuri...ntakua naingia kujifunza mawili matatu kuhusu ujasirimali!!!
 
Lizy hii kitu imesimama ile mbaya?uandish wako na mpangilio wako umenifanya nihisi kama kweli,pia umenifanya nihisi we ni mwandish by professional,au mtu wa media vp unahusika na media?
 
hongera stori imetulia,waweza pata pesa nyingi kwa utunzi wako kama ukiamua kufanya utunzi wa hadithi kua kazi yako
 
Lizy hii kitu imesimama ile mbaya?uandish wako na mpangilio wako umenifanya nihisi kama kweli,pia umenifanya nihisi we ni mwandish by professional,au mtu wa media vp unahusika na media?
Asante NM....
kujibu swali lako nope...labda nianze kufikiria kama hizo sehemu mbili zitanifaa!!

hongera stori imetulia,waweza pata pesa nyingi kwa utunzi wako kama ukiamua kufanya utunzi wa hadithi kua kazi yako

Eti ehhh?Siku nikitoa kitabu natumai utakua wa kwanza kununua!!hehehe
Thankss

part 4 jamani....

Jestina hutaki hata kupumzika kidogo?
 
Wooow very nice. Story kama movie yenye twist and turns zinazomchukua msomaji in an emotional roller coaster. Inaburudishi na kufundisha. Once again excellent work!
 
Wooow very nice. Story kama movie yenye twist and turns zinazomchukua msomaji in an emotional roller coaster. Inaburudishi na kufundisha. Once again excellent work!

Thanks Ngwana....

BB tuliza boli...unaniondolea focus bana alafu ntalipua!!
 
Wewe nakuamini nothing can take you off track. You got skills. Sasa hivi nafikiria kukuwekea insurance in case anything happen to your hands ukashindwa kuandika basi tulipwe. Si unajua - kama nilivyowekea sura yako insurance hiyo mikono nayo itabidi niwekee Bima. LOL

Thanks Ngwana....

BB tuliza boli...unaniondolea focus bana alafu ntalipua!!
 
Back
Top Bottom