Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sawa... manake tukiendelea kuipata for free tutakuwa hatuthamini kazi yako na juhudi zako!Hehehe...ngoja nikifika katikati ntawambia kila anaetaka kujua mambo yataishaje anunue kitabu!
<br />Mbona ipo....baada ya maandishi ya BLUE kwenye post ya kwanza!!
imekaa vizuri hiyo, ila kwa kukimega kile kipande, ni kama unaninyanyapaa mimi Lizzy
Asante NM....Lizy hii kitu imesimama ile mbaya?uandish wako na mpangilio wako umenifanya nihisi kama kweli,pia umenifanya nihisi we ni mwandish by professional,au mtu wa media vp unahusika na media?
hongera stori imetulia,waweza pata pesa nyingi kwa utunzi wako kama ukiamua kufanya utunzi wa hadithi kua kazi yako
part 4 jamani....
Wooow very nice. Story kama movie yenye twist and turns zinazomchukua msomaji in an emotional roller coaster. Inaburudishi na kufundisha. Once again excellent work!
Thanks Ngwana....
BB tuliza boli...unaniondolea focus bana alafu ntalipua!!