BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Lizzy unafanya utani unajua hii pesa aisee, we mchaga wa wapi? ongea na hawa tigo hapo chini wakulipe aisee maana kwanza wanztuziba tu hapo bure, wakudhamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy unafanya utani unajua hii pesa aisee, we mchaga wa wapi? ongea na hawa tigo hapo chini wakulipe aisee maana kwanza wanztuziba tu hapo bure, wakudhamini
Wamachame ni balaa!Hahhaha...BiBi unataka nianze kusemwa Mchagga mie mawazo yote kwenye pesa tu?!
Unamaanisha hawajaacha kuwanyonga waume zao!?Wamachame ni balaa!
kwahiyo wanapotezwa tu,......then inakuwa noticed someone is missing!?Acha zako wewe...tuwanyonge tupate hasara ya kuandaa mazishi?!
Lizzy, naisubiri Nr 5, pleeese! au ndio itaendelea wiki ijayo!
usinikumbushe mambo ya zamani na gazeti la sani..... itaendelea toleo lijalo, halafu hujui hata lijalo ni lini!
Hahahhaha...asante Kloro...angalau najua umenisoma!!
admins... Please do us a favour and mark this thread sticky.. So that its easier to find.. Lizzy, good job lkn bahati mbaya natumia mobile cwezi kukupa like na ile tab ya thanks nayo imepotea, but its fantastic..!
<br />LK Zawadi amechoka leo kwakweli...hawezi kusimulia!!