MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hapa mkuu umeongea kitu kimoja cha maana sana kuna maeneo ukipita ni hatari watu wanakojoa kwenye mitaro ya maji pananuka mikojo vibaya sana yaan ni hatari sana sababu hakuna choo karibuJiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
Makonda aliwahi kusema katenga eneo kigamboni kwa ajiri ya showrooms ,alifanyie kazi aache uvivuHakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.
Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa ni kuhujumu maisha yao na ya taifa kwa ujumla? Tafadhali ndugu RC fanya majukumu yako mengine.
Jiji la Dar halina hata smoking zones halafu unapoteza muda na watu wanaofanya biashara zao kihalali. Jiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, ameeleza kukerwa na uwepo wa maeneo mengi ya kuuza magari (Showrooms) katika kila kona na vichochoro vya Dar es salaam.
Chalamila amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuongeza kwa kuwaagiza Wakuu wa Wilaya kudhibiti showrooms hizo, kwamba kuna haja ya kuwa na eneo maalum litakalokuwa na showrooms tu (mji wa showrooms).
“Moja ya mambo nilipanga kushauri ni uwepo wa Bandari kavu maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, na uwingi wa showrooms, sasa showrooms hivi kila mahali zinaota mpaka nina ziara, nakwenda TRA nataka nikaulize kuna jambo gani kubwa?” amesema RC Chalamila.
RC ameongeza pia kuwa “Tunataka kama showrooms za magari ziwe mahali fulani, haiwezekani kila uchochoro kuna showroom ya magari, halafu usiku unakutana na magari hayana plate number yanatembea huko mtaani hayaeleweki, unakutana na watu wanakimbiza magari hii barabara ya kuelekea Masaki mpaka unajiuliza mle ndani ni kioski cha bangi au wanauza kitu gani?”.
View attachment 3402289
Chanzo: Millard Ayo
Tukisema no reforms no election,hamtaki, muache afanye atakavyo nae ni wa chama Cha kijani!Sisi ni nani tumzuie!Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.
Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa ni kuhujumu maisha yao na ya taifa kwa ujumla? Tafadhali ndugu RC fanya majukumu yako mengine.
Jiji la Dar halina hata smoking zones halafu unapoteza muda na watu wanaofanya biashara zao kihalali. Jiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, ameeleza kukerwa na uwepo wa maeneo mengi ya kuuza magari (Showrooms) katika kila kona na vichochoro vya Dar es salaam.
Chalamila amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuongeza kwa kuwaagiza Wakuu wa Wilaya kudhibiti showrooms hizo, kwamba kuna haja ya kuwa na eneo maalum litakalokuwa na showrooms tu (mji wa showrooms).
“Moja ya mambo nilipanga kushauri ni uwepo wa Bandari kavu maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, na uwingi wa showrooms, sasa showrooms hivi kila mahali zinaota mpaka nina ziara, nakwenda TRA nataka nikaulize kuna jambo gani kubwa?” amesema RC Chalamila.
RC ameongeza pia kuwa “Tunataka kama showrooms za magari ziwe mahali fulani, haiwezekani kila uchochoro kuna showroom ya magari, halafu usiku unakutana na magari hayana plate number yanatembea huko mtaani hayaeleweki, unakutana na watu wanakimbiza magari hii barabara ya kuelekea Masaki mpaka unajiuliza mle ndani ni kioski cha bangi au wanauza kitu gani?”.
View attachment 3402289
Chanzo: Millard Ayo
Wakati kwenye ramani ya mipango miji,yard za magari zimepangiwa huko bunju..Makonda aliwahi kusema katenga eneo kigamboni kwa ajiri ya showrooms ,alifanyie kazi aache uvivu
Tukisema no reforms no election hawatuelewi!Wakati kwenye ramani ya mipango miji,yard za magari zimepangiwa huko bunju..
Makonda yeye anasema kigamboni
Huyu rc dar naye anashangaa yard haoni vituo vya mafuta
Ova
tatizo umezoea kuchukulia kila jambo kisiasa siasa.Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.
Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa ni kuhujumu maisha yao na ya taifa kwa ujumla? Tafadhali ndugu RC fanya majukumu yako mengine.
Jiji la Dar halina hata smoking zones halafu unapoteza muda na watu wanaofanya biashara zao kihalali. Jiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, ameeleza kukerwa na uwepo wa maeneo mengi ya kuuza magari (Showrooms) katika kila kona na vichochoro vya Dar es salaam.
Chalamila amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuongeza kwa kuwaagiza Wakuu wa Wilaya kudhibiti showrooms hizo, kwamba kuna haja ya kuwa na eneo maalum litakalokuwa na showrooms tu (mji wa showrooms).
“Moja ya mambo nilipanga kushauri ni uwepo wa Bandari kavu maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, na uwingi wa showrooms, sasa showrooms hivi kila mahali zinaota mpaka nina ziara, nakwenda TRA nataka nikaulize kuna jambo gani kubwa?” amesema RC Chalamila.
RC ameongeza pia kuwa “Tunataka kama showrooms za magari ziwe mahali fulani, haiwezekani kila uchochoro kuna showroom ya magari, halafu usiku unakutana na magari hayana plate number yanatembea huko mtaani hayaeleweki, unakutana na watu wanakimbiza magari hii barabara ya kuelekea Masaki mpaka unajiuliza mle ndani ni kioski cha bangi au wanauza kitu gani?”.
View attachment 3402289
Chanzo: Millard Ayo
Wenye akili.awatakiwi kwenye serikali ya samia bali WapumbavuHakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.
Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa ni kuhujumu maisha yao na ya taifa kwa ujumla? Tafadhali ndugu RC fanya majukumu yako mengine.
Jiji la Dar halina hata smoking zones halafu unapoteza muda na watu wanaofanya biashara zao kihalali. Jiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, ameeleza kukerwa na uwepo wa maeneo mengi ya kuuza magari (Showrooms) katika kila kona na vichochoro vya Dar es salaam.
Chalamila amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuongeza kwa kuwaagiza Wakuu wa Wilaya kudhibiti showrooms hizo, kwamba kuna haja ya kuwa na eneo maalum litakalokuwa na showrooms tu (mji wa showrooms).
“Moja ya mambo nilipanga kushauri ni uwepo wa Bandari kavu maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, na uwingi wa showrooms, sasa showrooms hivi kila mahali zinaota mpaka nina ziara, nakwenda TRA nataka nikaulize kuna jambo gani kubwa?” amesema RC Chalamila.
RC ameongeza pia kuwa “Tunataka kama showrooms za magari ziwe mahali fulani, haiwezekani kila uchochoro kuna showroom ya magari, halafu usiku unakutana na magari hayana plate number yanatembea huko mtaani hayaeleweki, unakutana na watu wanakimbiza magari hii barabara ya kuelekea Masaki mpaka unajiuliza mle ndani ni kioski cha bangi au wanauza kitu gani?”.
View attachment 3402289
Chanzo: Millard Ayo
Tukiwaambia no reforms no election hawataki!Wenye akili.awatakiwi kwenye serikali ya samia bali Wapumbavu
Upuuzi unaouongelea hauhusiani na huu uziTukisema no reforms no election,hamtaki, muache afanye atakavyo nae ni wa chama Cha kijani!Sisi ni nani tumzui
Imekuwa kero kivipi? Yard ya magari inakuleteaje kero wewe? Ungesema haya makanisa ya kilokole ni kero ningekuelewatatizo umezoea kuchukulia kila jambo kisiasa siasa.
Showrooms dar zimekua kama takataka, ilianza kinondoni, sasa mwenge na ubungo napo ni kero, kila uchochoro showroom. Mtu anakodi nyumba full na uwanja wa mbele anafanya yard ya kuuzia magari, inakua kero sana
Hahahahaha,kwani afisa mipango miji hayupo ? Ningekua muandishi ningemuuliza huyo RC ,plan ya mkoa inasemajeWakati kwenye ramani ya mipango miji,yard za magari zimepangiwa huko bunju..
Makonda yeye anasema kigamboni
Huyu rc dar naye anashangaa yard haoni vituo vya mafuta
Ova
Chala hana ubongoHakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.