Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Unazijua zafarani?
Hapo ushapigwa za kutosha na side chick
 
Akili zimekurudia, umegundua ndoa ni zaidi ya kufinyiwa ndani??
Una mwanamke desperate sana, mtii, kila kitu YES, usioe usiyempenda, utamtesa, ni dhambi. Kile kiapo kizito!

Things moved too fast. Kichwa kikubwa kilipelekeshwa na kichwa kidogo.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Miaka miwili ulimpenda ila baada ya mipango ya ndoa ndio humpendi!

Inaonekana mwanzo ulimpenda coz hukua na nia nae,nia yako ilikua umchezee tu na umuache,

Sasa baada ya kuona kua utammiliki kama Mke ndio una mkinai na kuona hakufai!

Kama utaamua kumuacha basi usifikiri jambo hilo litapita bure bure,Mungu hua ana makusudi yake pia,umempotezea mtoto wa watu muda ambao huwezi kuurudisha nyuma,

Sikulazimishi kumuoa ila haiingii akilini eti miaka 2 uliyokua nae mbona hukumchukia?
 
Uchawi ipooooo mzee.
 
Achana nae kabla ya kufunga ndoa. Usije ukaua baadae. Maana hutaweza kumridhisha kama hakuvutii hivyo ukimuoa ataanza kukudharau kwa sababu humridhishi.

Baada ya dharau atachepuka utashikwa na hasira utatenda jambo ambalo hutarajii kutenda.

Achana nae usiridhishe jamii eti watakuonaje.
 
Wewe kijana ni mpumbavu sana, ukiendelea na ujinga huu utakuja kuolewa wewe. Kwanini mnapenda kuwaumiza watoto wa wenzenu kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…