Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

Hahaha!! Majibu ya wanajf ni kiboko kuna mmoja hapo juu amekoment (ok poa)

Kamanda muache, bint wa watu kiroho safi ila baadae unaweza jutia uamuzi wako
 
Hili swala linawatokea weng wanapokaribia kuoa. .inaitwa Ndoaphobia

So ni kawaida....nishashuhudia wati wawili wakiwa kwenye hali hyo kaka
 
Pole sana kwa changamoto jitahidi sana kumwomba Mungu akusaidie, kila lakheri.
 
Ni hali inatoke kwa waty Wengi, na hii nikutokana na maandalizi yako ya mwanzo au hali ngumu ya kiuchumi au kiafia inayomkuta mtu akiwa katkati ya jambo fulani, Ε‚azima unapoanzisha jambo ujue faida zake na ujue mwisho wake, chukua sababu moja tu ya wewe kutaka Kuwa na mke, na simamia hio sababu endelea na mchakato kwani kwa taarifa fudi uliyotoa huyo anafaa Kuwa mke.
 
tafuta mtu mmoja wa karbu rafiki/pastor/sheikh/doctor mwelezee hali hyo na uwe,, naamin utapata kitu
Acha kumdanganya mwenzio hao wataishia kumla tu
 
Ni kweli hii ishu kabisa bro yani hapa nawaza nitamwambia nini mama,na ndugu wanao subiri kwa ham shughuli yangu
Wakati mimi nawaza nieendele kuishi peke yangu

Mwache huyo binti
Nikuambie tena mwache kwa amani kuliko umuoe na tayari humpendi
Mwache ataumia siku chache na baadae atakushukuru kuliko kuja kumpa maumivu ya maisha

Kamwe usimuoe/usiolewe na mtu sababu ya kumwonea huruma bali sababu huwezi kuishi bila yeye
 

Akichukua huu ushauri basi atafanikiwa. Umeeleza vizuri sana.
 
"Tangu umri wangu usogee kidogo najikuta naamini kuwa sitakiwi ku share hovyo hovyo "USB" yangu na watu tofauti tofauti zaidi ya yule "Shareholder wangu pekee"

Lakini pia nimegundua ku share USB hovyo hovyo kunaleta virus, demage na mikosi ya ajabu ajabu inayopelekea umasikini"
 
Toa number zake ili wenye kiu ya ndoa wajichukulie wife material. wewe endelea kula ujana
 
Jf moderators wanazingua, nilikua nataka kumalizia himself dada akee
Hahahaaaa. Hapo sawa Mdogo wangu.

Mana nkapata kujipa kazi ya kusaka hilo neno kwenye kamusi, nikagugo lakini wapi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (jokes)

Tupo.
 
Hahahaaaa. Hapo sawa Mdogo wangu.

Mana nkapata kujipa kazi ya kusaka hilo neno kwenye kamusi, nikagugo lakini wapi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (jokes)

Tupo.
Hahaha polee

Wafikishie salamu hizi maana nyie ndio vigogo wa jf,
Option ya kuedeti jina iwepo sio kila baada ya mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…