Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

Mbona huna shukrani, wasinge msomesha huenda msinge onana! Acha aende akalipe fadhira na apate baraka zao!

Kaa kwa kutulia!
 
Nature hairuhusu hivyo,kitendo cha mimi kutoa mahali basi ni ishara tosha kuwa huyo mwanamke ataishi chini ya matakwa yangu,nature imekipa nguvu kiumbe cha jinsia ME,angalia kwa wanyama na ndege,hiyo ndo asili
Si ndo kuna mwanaume nae amelipa mahari sehemu, ila ni mwanaume loose hafatilii mkewe, unatokea wewe ambae umelipa mahari kwengine umemficha wako ndani unaenda kutafuna wa bwege mwengine ila mkisikia wamechomwa visu mnawatukana😂
 
Inaonekana wewe huwa sio mwaminifu kwa mwenzako hivyo unajishtukia. Unahofu nini sasa?
 
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo

Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule


Utakufa kwa presha uache watoto, kama una Tabia za hovyo jirekebishe, Mume likizo mara nyingi haachi mke hovyo.

Mkiambiwa mtii waume wenu hamsikii, ngoja aende kwa wanaompa raha, furaha na Amani. Ukiona mume anaondoka wala Hana wasiwasi, kakuchoka.

Acha gubu, tulia kabisa, jua anaenda kwa mwanamke au anaenda na mwanamke, akirudi rekebisha Tabia zako za hovyo then you will have him back.
 
Vizuri na wewe panga safari nije ninyonye soup ya huko chini. Nanyonya tu,,,,
 
Unataka akae hapo muote Moto wa umasikini.
Mimi kuna siku nilimuuliza mke wangu "Unataka niache kazi nikae tu hapa nyumbani ili kila mda unione?" Manake ilikua ni kero kila saa unaulizwa uko wapi? Unarudi saa ngapi? Ukisema niko kazini unaambiwa rudi nyumbani hujui una familia? 🙄

Hizi ndoa bila kua bandidu mda mwingine utateseka bure.
 
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo

Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
Nini kinachokuumiza? gharama kubwa za safari?, atachepuka?. Kama wasiwasi wako ni kuchepuka basi hata asiposafiri anaweza kuchepuka tu.
 
Mkiwa mnaugua na kujinyea vitandani baada ya kupata HIV mbona huwa hamuitishi hivyo vyakula mbalimbali. Mnakazi ya kusumbua wake zenu hadi mnakata roho
Hao wake huwa hawaumwi uko kwenye ndoa? Hapa ninapoishi kuna mshua anamuuguza mke wake amepooza mwaka wa 3 sasa hivi yupo tu kitandani.
 
Back
Top Bottom