Sina lengo la kukashifu dini, ila Walokole mna kelele sana

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa ndio maana hata Mungu huwa hajibu maombi yao kwani wanaomba bila mpangilio na kuropokaropoka
 
Wewe kama umeshindwa kumtafuta Mungu kila la heri tuache sisi na ulokole wetu tuwasiliane na Mungu wetu
 
Mungu huweza kutizama machozi ya Mtu na kujua ana shida gani.
Acha walie bhana.

Wewe kama huwa usali, basi appreciate wanao sali na kuombe nchi.

Just imagine tulitabiliwa tutakufa kama kuku wa kideli.
 
Hao wanaofunga maporomondo makubwa mengi alfajiri, mchana na jion wanapga kelele mji mzima, na hao wanaokesha wanapga ma nyimbo na ugomvi na karaha na makelele ya kila namna, mbona sisi hatujasema, kwahyo kuweka ka kitega uchumi kako hapo ndo unataka watu wote wakuone wew nan, na unataka kuzuia watu wasifanye mambo yako kisa wew au?
 
Wote tunampenda Mungu, ila nyie walokole mnakera Sana, sijui mnaona wengine mashetaani.

Hiyo ya kelele za maombi sio mbaya, ila magitaa na manyimbo yenu sauti inaenda kms kadhaa.

Kazi kuoana tu humo makanisani, uzinzi ni dhambi imewashinda kabisa.
Hayo unayajua wewe. Sisi ni kazi moja tu kuwasiliana na Mungu wetu kupitia jina lenye herufi nne tu 'YESU'
 
Ukiokoka na ukimkiri Yesu utaona utamu uliomo katika imani yetu
 
Mungu huweza kutizama machozi ya Mtu na kujua ana shida gani.
Acha walie bhana.

Wewe kama huwa usali, basi appreciate wanao sali na kuombe nchi.

Just imagine tulitabiliwa tutakufa kama kuku wa kideli.
Tanzania tungelikua watu wote wenye akili kama yako, nahsi ujinga tungelikua tumeushinda kitambo tu, ila badala yake bado vilaza ni wengi kama mleta hii thread!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…