Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Tangu nijiunge JF nimewahi kuitwa Lissu, Makonda, Mwigulu na Msando. Kwa hiyo sishangai wewe kuniita Samiaunavyoitetea DPW!
au ww ndo Sir100 nn?🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu nijiunge JF nimewahi kuitwa Lissu, Makonda, Mwigulu na Msando. Kwa hiyo sishangai wewe kuniita Samiaunavyoitetea DPW!
au ww ndo Sir100 nn?🙁
Hao ndugu zenu wa DP World tutawafurumisha.ULitaka wauziwe waroma kwasababu we ni mfuasi wao? Mmeshazidiwa ujanja sasa mkameze sumu. Ngedere nyie
Hizo so called tasfiri za kijinga kwa hao werevu wanaotuingiza kwenye mikataba lukuki mpaka leo ( na mwingine kushangaa vipengele vinaongezwaje yeye bila kujua wala mtu kuwajibishwa) ndio inayopelekea kama taifa kuendelea kuwalipa makampuni from our hard earned cashSintofahamu ya mkataba kutokana na logic au ujinga wa watu kulazimisha tafsiri zao za kupotosha kuhusu mkataba?
Kama Mahakama imesema sawa! Tena majaji 3 wewe nani ulete tafsiri zako za kijinga alafu ndo useme una hoja?
Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo yyte. Angalia Tanga, Lindi, Zanzibar, Pwani na Mtwara hakuna maendeleo.Tangu nijiunge JF nimewahi kuitwa Lissu, Makonda, Mwigulu na Msando. Kwa hiyo sishangai wewe kuniita Samia
⌚mia, mambo?Tangu nijiunge JF nimewahi kuitwa Lissu, Makonda, Mwigulu na Msando. Kwa hiyo sishangai wewe kuniita Samia
Tumewalipa kwa kufuta mikataba kwa mihemko na bila kufuata taratibu au kwa sababu ya ubaya wa mikataba?Hizo so called tasfiri za kijinga kwa hao werevu wanaotuingiza kwenye mikataba lukuki mpaka leo ( na mwingine kushangaa vipengele vinaongezwaje yeye bila kujua wala mtu kuwajibishwa) ndio inayopelekea kama taifa kuendelea kuwalipa makampuni from our hard earned cash
Vipi kuhusu Dubai, Kuwait, Qatar , Uturuki na Saudi Arabia?Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo yyte. Angalia Tanga, Lindi, Zanzibar, Pwani na Mtwara hakuna maendeleo.
Hao tutawafurumisha mpk utakuja shangaa. Muda utaongea tu
Lord umekumbwa na nini? Mbona kama unachanganyikiwa sasa? DPW walikuahidi cheo cha Ulinzi?Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.
Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.
Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.
Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan. Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .
Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady
Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
Imetumika nguvu kwa mujibu wa nani?Kuna tofauti kubwa kati ya kusimamia vikao vya bunge na kuwa kiongozi wa nchi.Najua utasema ndio.Kama ndio basi hoja yako ya kwanza inaweza isiwe backed up na maelezo yako.
Samia wewe unayemjua ambao wengine hatumjui ni yupi?Huyu ambaye kwa sasa ndiye kiongozi mkuu wa Tanzania au Samia kama mama yako au mume wake labda unakitu cha ziada ambacho wengine hatufahamu?
Kama kiongozi wa kisiasa na Rais nadhani kila mtu anamjua.Habari njema ni kwamba ni kiongozi mwenye uwezo mdogo.Jambo ni jepesi, kama kweli huu uwekezaji unaotakiwa kufanyika umefanyika katika njia sahihi kwanini itumike nguvu kubwa kudhibiti wale wasio kubaliana na utaratibu wao?
Nimechanganyikiwaje?Lord umekumbwa na nini? Mbona kama unachanganyikiwa sasa? DPW walikuahidi cheo cha Ulinzi?
Amekuwa Waziri bara na visiwani na aliongoza vizuri tu Wizara alizoziongoza. Amekuwa Makamu wa Rais awamu ya tano na amehudumu vizuri sanaMleta mada tukitoa hilo bunge katiba ambalo pia lilifeli kwa kiwango kikubwa !
Ni wapi huyo mama yenu iron lady wa mchongo ana historia ya uongozi hapa Tanzania bara na visiwani?
Kwa mujibu wangu inatumika nguvu kubwa unajua kwanini?Imetumika nguvu kwa mujibu wa nani?
Samia ni yule yule. Anayeaminiwa kwenye kidogo anaaminiwa kwenye vikubwa. Hajabadilika zaidi amezidi kuwa bora zaidi!!
interestingSikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.
Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.
Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.
Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan. Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .
Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady
Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
Karibuinteresting
Vipi tena Mama Amon?
Kwani sio mswahili kweli?Hili neno ulilosema " mwanamke wa kiswahili" linaonesha wewe ni mtu wa aina gani!!
Polee na tabia zako za kikaburu hizo
Nini maana ya mswahili?Kwani sio mswahili kweli?