Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

Kuna siku hii nchi itakuja kuuzwa-genius Ndugai (2022)
 
Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.

Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.

Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.

Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.

Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan. Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .

Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady

Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
Mnamfitini na kumfitinisha kisha mnakuja mitandaoni n chorus feki
 
Acha waru waru, Njoo na hoja ya msingi, kumlinganishsa Samia na Margareth Thatcher kunaingiaje kwenye swala linalopingwa?
Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.

Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli.

Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile pamoja na vituko vyote vya kina Tundu Antipass Lissu ila alikuwaga imara sana kuchair vile vikao vya Bunge la Katiba.

Kwa kifupi she was bold kuliko kina Pandu Amir Kificho na Spika wa Bunge lile.

Kuna watu wanadhani Mama Samia anatishika na matamko yao uchwara, kuna watu wanadhani anakosa usingizi. Napenda kuwaambia hamumjui vizuri Samia Suluhu Hassan. Huyu ana ngozi ngumu kwenye siasa za ushindani nadhani kuliko mwanasiasa yeyote yule tuliyewahi kuwa nae. Ndo mana aliweza hata kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wapinzani wake Bawacha .

Nikimuangalia sana namfananisha sana na mwanasiasa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Margareth Thatcher ambaye alikuwa bold hadi waingereza walimpa Nickname ya Iron Lady

Poleni sana mnaodhani mnaweza kumtetemesha Rais Samia kwa matamko yenu.
 
Unaona hii Sintofahamu ya Mkataba / Sijui Makubaliano au ile mingine iliyosainiwa USA na pengine pengi ambayo haijulijkani hence kuleta taharuki ni mambo kwenda sawa ?

Ukishaleta mashaka na watu kutokuaminiana ni hatari kwa mustakabari wa taifa..., Kazi nzito sana iliyojengwa na waasisi ya kutuunganisha inaweza ikavunjika kwa siku chache tu..., and for what !!??

Kwahio no matter uzuri au ubaya wa DP World na huu mkataba / sijui makuliano; umekuwa handled very badly, na kwa cost kubwa bila sababu (sijui CCM wametumia pesa kiasi gani kuchota watu kwenda uwanjani na kuwaonga pesa ili kupita propaganda) That money could have been used constructively.... By the way tunaendelea kulipa Makampuni huko nje kwa kushindwa kesi sababu ya kutokuwa na mashaka na viongozi waliopita
Ni siasa za wanaojua huyo DPW anakuja kuharibu kabisa ulaji wao hivyo hawawezi kumsema kwa mema. Uzuri wa Samia ana misimamo ile ile ya kina JPM, huwezi kumtetemesha hata kidogo.
 
Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo yyte. Angalia Tanga, Lindi, Zanzibar, Pwani na Mtwara hakuna maendeleo.
Hao tutawafurumisha mpk utakuja shangaa. Muda utaongea tu
Labda kuwafurumusha humu jukwaani, huko nje hamna mwenye jeuri hiyo.
 
Back
Top Bottom