Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

JF raha sana, hakuna wanachoshindwa kuchangia, Anyway nenda hospital mkuu wakafanye LFT waangalie ini linavyofanya kazi, then utakutana na clinician atakupa dawa utatumia ndani ya siku 7 hivi then utakuwa fresh
 
Jaribu kula matunda kwa wingi, mboga za majani na unywe maji mengi.
 
Usisahau kula na kitunguu swaumu tembe moja ama mbili kila baada ya chakula
 
Kwani ukisha kunya, hua unanusa....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
JF raha sana, hakuna wanachoshindwa kuchangia, Anyway nenda hospital mkuu wakafanye LFT waangalie ini linavyofanya kazi, then utakutana na clinician atakupa dawa utatumia ndani ya siku 7 hivi then utakuwa fresh
Nice advice..
 
Kwani ukisha kunya, hua unanusa....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mkuu ni kuwa baada ya tendo mazingira yanaharibika kabisa, watu wanatafuta hewa safi nje na mke amechoka anataka break.
 
Pole ni kweli kuna jamaa hapo ofisini kwetu wakikutangulia chooni lazima usubiri robo saa.
 
Back
Top Bottom