georgemohammed
Senior Member
- Feb 4, 2014
- 188
- 44
Kwani kuna kinyesi kinachonukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice advice..JF raha sana, hakuna wanachoshindwa kuchangia, Anyway nenda hospital mkuu wakafanye LFT waangalie ini linavyofanya kazi, then utakutana na clinician atakupa dawa utatumia ndani ya siku 7 hivi then utakuwa fresh
Mkuu ni kuwa baada ya tendo mazingira yanaharibika kabisa, watu wanatafuta hewa safi nje na mke amechoka anataka break.Kwani ukisha kunya, hua unanusa....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Unabeba air freshner yako mkuu, unaiweka kwenye drawer, ukitaka kwenda ubabeba.Pole ni kweli kuna jamaa hapo ofisini kwetu wakikutangulia chooni lazima usubiri robo saa.
Duh, kumbe wengine wana vinyesi visivyotoa harufu mbaya.Kweli wewe bishororo, unataka m.a.v.i yanukie perfume?
Mkuu umenifanya nicheke mno, jamaa hataki mavi yanayonukaSijapata kusikia m.a.v.i yananuka vizuri.Yakishanukia vzr unataka uyapeleke supermarket?
Hicho sio kitu cha air refresherner mkuu. Huwezi vumilia. Mzoga si mzoga huwezi kukaa hapoUnabeba air freshner yako mkuu, unaiweka kwenye drawer, ukitaka kwenda ubabeba.
Chako hakinuki kbs?!Jaribu kula matunda kwa wingi, mboga za majani na unywe maji mengi.