Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

Kwani ni nani aliyepeleka hilo wazo bungeni? nadhani tungeanza na huyo kwanza.
 
Alaaniwe Salma Kikwete aliyeleta wazo hili la kishetani. Yule mwanamke ana roho mbaya na ni mbinafsi sana.
Tunaambiwa ni mchapa kazi ili hali hata kidogo anakitapanya huku na kule kwa wale walioshiba tiari
 
Back
Top Bottom