Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.
Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie, na unajua mimi ni mume wa mtu; siko tayari niitelekeze familia yangu, kwa ajili yako'. Akanijibu; 'usihofu mpenzi mi siingilii ndoa yako, ninaiheshimu sana; ila mi nataka nikupe furaha tu, ambayo huipati huko kwingine, muhimu unijali mahitaji yangu, kama mpenzi wako na utafurahi sana kuwa na mimi'.
Nikamwambia; 'kwa uzuri ulionao, nataka unizalie mtoto kama alama yangu kwako'; akajibu, 'ondoa shaka mume wangu, ni wewe tu, kwa nini nikukatalie wewe, kwani mimi nimekuwa nani?'
Hapa nilipo, nimemuambia aandae bajeti ndogo nitoke naye 'out' kabla ya pasaka, angalau akaufanyie 'service' uti wa mgongo; kwa sababu kipindi cha sikukuu nitakuwa na familia, na sitakuwa na nafasi ya kumuona.
Nilichogundua: wanaume hawana sauti kwa watoto wazuri. Ukiona mwanaume anamkoromea mwanamke, jua huyo mwanamke sio pisi kali.