kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Kwa Nini mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23] unatafuta vita wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Nini mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23] unatafuta vita wewe
Njoo inbox baby tuyajengeWe jamaa unamichepuko mingapi[emoji848] aiseeee
Huyo dem ushamla mara ngp..na una muda nae miezi mingapi....
Kuna kitu nasense...qanawake sisi ni wezi. Kukupa maneno matamu tu ilimardi tukuvune kazi nyepesi sana...
Asante kwa kunijulisha ngojea nimtemeMimi ni mganga wa kienyeji, alikuja kwangu anataka nimfanyie dawa bwana wake awe zezeta, kila senti awaze kumpa yeye tu, miradi yote na mali zote ziandikwe kwa jina la Happy
Ndo ushangae sasa wanaume tulivyo viumbe wa ajabuAisee...nami ningeshangaa DeepPond angekuwa peke yake
Jibu ...Kwa nini tena kabila mkuu?
Excuse me....nimekusea nn mpk unitolee mfano mimi...huna namna ingine ya kuongea...jaribu kuheshim mtu ambae haja kunenea baya..Mbona kama nyie ndo mnavunwa sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yan we kuachiwa 50k ya kipoozeo ndo unaona unavuna [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] vp hali ya Hiyo K yako huko chini
Arusha-meruJibu ...
Mwanamke ni pisi kali kabla hujamtombaa tuu.....ukishamkojolea mara tatu uzuri wake unashukaTangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.
Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie, na unajua mimi ni mume wa mtu; siko tayari niitelekeze familia yangu, kwa ajili yako'. Akanijibu; 'usihofu mpenzi mi siingilii ndoa yako, ninaiheshimu sana; ila mi nataka nikupe furaha tu, ambayo huipati huko kwingine, muhimu unijali mahitaji yangu, kama mpenzi wako na utafurahi sana kuwa na mimi'.
Nikamwambia; 'kwa uzuri ulionao, nataka unizalie mtoto kama alama yangu kwako'; akajibu, 'ondoa shaka mume wangu, ni wewe tu, kwa nini nikukatalie wewe, kwani mimi nimekuwa nani?'
Hapa nilipo, nimemuambia aandae bajeti ndogo nitoke naye 'out' kabla ya pasaka, angalau akaufanyie 'service' uti wa mgongo; kwa sababu kipindi cha sikukuu nitakuwa na familia, na sitakuwa na nafasi ya kumuona.
Nilichogundua: wanaume hawana sauti kwa watoto wazuri. Ukiona mwanaume anamkoromea mwanamke, jua huyo mwanamke sio pisi kali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee...okyArusha-meru
Eeeh eti nini[emoji1][emoji1][emoji51]ila kweli..Mwanamke ni pisi kali kabla hujamtombaa tuu.....ukishamkojolea mara tatu uzuri wake unashuka
Huo ndio ukweli mchungu.Eeeh eti nini[emoji1][emoji1][emoji51]ila kweli..
Kuna mshikaj wangu mmoja alikua anajitutumua sana..ss hv nimepata pisi kali..mara ss ni kula pisi kali tu..akanitumia na kapicha nikaone[emoji28]
Mbwembwe nyiingiii ..kusifia kwingi...
Tangu amle...ht kumtaja taja hamna[emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha kuna tatizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee...oky
Wanaimarisha ndoa nyingi sanaWenye michepuko safar ya mbingun mtatafuta usafir wa peke yenu[emoji57]
Hamna anayeenda mbiguni wote ni wa hapa hapa dunianiWenye michepuko safar ya mbingun mtatafuta usafir wa peke yenu[emoji57]
Wacha wee[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hamna anayeenda mbiguni wote ni wa hapa hapa duniani
Mmmmmh [emoji849][emoji849][emoji849]Wanaimarisha ndoa nyingi sana
Migogoro ya kunyimana tendo inapunguaMmmmmh [emoji849][emoji849][emoji849]
Utakua mtu mwenyewe unaye chepuka huna hata maajabu ni vijishiringi vyako tu vinalika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Migogoro ya kunyimana tendo inapungua
Nyie si huwa mnalalamika kuwa kila siku hamuwezi kutoa?Utakua mtu mwenyewe unaye chepuka huna hata maajabu ni vijishiringi vyako tu vinalika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]