Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

mpango kazi wa mchepuko ni maneno matamu na gem ya kibabe…

huyo yupo kazinii,

muulize DeepPond , na mama j wake

akiqnza kuvuna utakuja na uzi wa kulia lia hapa
 
Aise Chali angu kuwa makini na mademu wa Chuga, sisi ndio tunawaezea aise ..ohoo utapigwa tukio moja hutoamini
 
Back
Top Bottom