Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

WANAUME wenyewe wa siku hizi yaliyomo hata hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana KILA mtu anatafuta pa kupuganika huko nje ya ndoa
Wa kwako tu ndio mwenye changamoto
 
Check kabila
 
Excuse me....nimekusea nn mpk unitolee mfano mimi...huna namna ingine ya kuongea...jaribu kuheshim mtu ambae haja kunenea baya..
Sorry ..nimeongelea in general and not you as individual
 
Mithali 22:14 - Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na Bwana atatumbukia ndani yake.
 
Keruu bwashee unaingizwa mjini sasa hivi.
Mimi mwanamke akiniletea mahaba ya Tanga uwa nahisi ananitapeli kabisa. Nakuwa naona kama anaigiza flani.
 
Keruu bwashee unaingizwa mjini sasa hivi.
Mimi mwanamke akiniletea mahaba ya Tanga uwa nahisi ananitapeli kabisa. Nakuwa naona kama anaihiza flani.
Ni kuwa nao makini mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa anaweza Kuwa anatunga...ila nlipokuwa advance nilikuwa Na mshkaji wangu yeye Kwa siku analeta ghetto madem wawili Na akiondoka dem hutamuona tena.
Yani ukitembea nae njiani Mita 100 ameshasimamisha madem watatu
Hata mimi kuna jamaa tulipokuwa university alikuwa anagonga hadi 4 kwa siku na sidhani kama zilipita siku 2 bila kuleta zigo na alikuwa harudii kiukweli sijui ni shetwani au niaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…