Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1789791746213.png

Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
 
Atakua ana majuto mengi sana
Sema ukifanya tendo wewe husikii ila aliyefanyiwa
Samia anaona watu waliokufa ni kama panya tu , maana hajui sura zao , hajui uchungu wa familia zao.
Alisema nguvu iliyotumika ilistahili
Kuchoma kituo cha mafuta adhabu yake ni kupigwa risasi
Kuchoma kituo cha kupiga kura adhabu yake ni kuuliwa
Kuchoma basi adhabu yake ni kuuliwa
Kuchoma tairi barabarani adhabu yake ni kuuliwa.
Bila kujua kuwa
Kiburi,, dharau na majivuno ndo kilichofanya watanzania kufika hapo, usipowasikiliza watu ukajiamini kupita kiasi utakutana na majuto siku moja.

Samia huenda hata hajuti na hana huzuni.
Maana hata huyo mwenza wake mtaani wanasema alikua jina tu
 
View attachment 3673670
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
KWANI ALIKUWA ANA MUME?
 
Kama angejua kiti Cha urais kingemsumbua asingekitaka
Hana lolote uyo mama ni uroho wa madaraka tu.
Kulikuwa na ishara zote mwaka jana kwamba mbele yake kuna giza nene ila cha ajabu akaruka sarakasi anavyoweza katika chama chake mpka akachaguliwa kuwa mgombea urais.

Kama asingekitaka angejiengua mapema tu akapumzika zake wakati wa mchakato ndani ya ccm.

Na trust me! Kama angestaafu mwaka jana angeheshimika akuna mfano...

Ila sasa keshapoteza legacy yote na anazidi kujipaka matope mwenyewe.

Amaut🤸‍♀️
 
View attachment 3673670
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
Sio kajionjesha tu na yeye? Maana hajambo kwenye kuangusha

Apewe tuzo ya MWANAMKE mchinjaji
 
Mume akikata roho,Mjane alikuwa Dodoma! Kuna Ndoa hapo?
Na mashaka sana
Yaani mme yupo ICU wee upo zako Dodoma wakati vikao vya kumtoa makamu wake alikua anafanyia Zanzibar
Niliwahi kukatana njemba moja (watu wake) akasema mother na marehemu walishaachana kitambo ,Samuya yeye ni kucheza na wajukuu wake kwenye nyumba ya Rais na Ikulu siku moja moja.
 
View attachment 3673670
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
Ogopa kuongozwa na mpumbavu mwenye apprentices wajinga wajinga.

Kama anatia huruma arejeshe miili ya waliouwawa kwa amri yake ili wazikwe na familia zao.

Mengine ni nyie kujivika ujuha wa kumtetea kwa kila mbinu. Tunaamini mna uhusika ktk atrocities zinazoendelea
 
Back
Top Bottom