Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
KWANI ALIKUWA ANA MUME?View attachment 3673670
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
JKKWANI ALIKUWA ANA MUME?
Kuna kikundi kidogo, kinaendesha nchi,mjane pale,kawekwa kama boyaNapata shida kumtuhumu huyu mumama akati aliyetoa kauli Kua kibendera chekundu kimepandishwa juu alikua mwengine.
Hana lolote uyo mama ni uroho wa madaraka tu.Kama angejua kiti Cha urais kingemsumbua asingekitaka
Steti Kaptura ??!Kuna kikundi kidogo, kinaendesha nchi,mjane pale,kawekwa kama boya
Sio kajionjesha tu na yeye? Maana hajambo kwenye kuangushaView attachment 3673670
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma Samia
Anatia huruma
Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29 walionja
Walipouawa, aliesma kuwa serikali yake siyo ya samaki.
Aliwaita watotow asiolelewa vizuri.
Jamanini, dunini tunapita hata uwe na madaraka au mafedha utakufa tu.
Pole sana Samia.
Na mashaka sanaMume akikata roho,Mjane alikuwa Dodoma! Kuna Ndoa hapo?
Amri hiyo haiwezi kutolewa na CDF wala IGP ni yeye anatoa ikatekelezweNapata shida kumtuhumu huyu mumama akati aliyetoa kauli Kua kibendera chekundu kimepandishwa juu alikua mwengine.
Ogopa kuongozwa na mpumbavu mwenye apprentices wajinga wajinga.View attachment 3673670