Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

Huyo alikuwa geresha tuu hata mzigo wenyewe sijui mara ya mwisho alikula mwaka gani
 
Huyo mumewe kafa kifo halisi, sio kauliwa. kuna tofauti kati ya kufa na kuuliwa.
 
1. Huyo alikuwa bado mme wake au mzazi mwenzake?
2. Una uhakika hiki kifo kimempa maumivu?
 
Yeye amezika wa kwake sisi wa kwetu hakutupa nafasi ya kuwazika aliwachoma moto kama mabaniani, na siamini hata kama ana huzuni kwa huyo mwenza wake kung'oka amefurahi kimoyomoyo.
 
Mnatapatapa hakiyanani!! Yesu ma Mtume Mohammad kama wamekufa sembuse Hafidh?

Nyerere kafa kabaki Mkewe, Mzee Mwinyi kafa kabaki mkewe, Mzee Karume kafa kabaki mkewe, Magufuli kafa kabaki mke, sasa Mzee Hafidh ikifa akibaki mkewe Samia ni ajabu?

Niliona Mahinyila wa BAVICHA kaambiwa ataje sera za chadema zinazoweza kuipiku CCM, looooh! hadi nikamuonea huruma. Anaongelea habari za youtube sijui zikafanya nini. Hivi wakulima wavuvi, wafugaji, wachimba madini, wafanyakazi na wanafunzi na you tube ni wapi na wapi.

Chadema kimepoteza sifa zooote za kuwa chama cha siasa.
 
Sidhani,ingekuwa Prince ndiye kang'ata shuka ndiyo ingekuwa pigo!
 
Wengine ni nunda. Hawaamini kama duniani tunapita hadi watakapopita wao!
 
Daah ,kwamba Mh.Rais yeye awezi kufiwa na mtu wake? Ila nchi hii ina mambo ya ajabu
 
Yeye amezika wa kwake sisi wa kwetu hakutupa nafasi ya kuwazika aliwachoma moto kama mabaniani, na siamini hata kama ana huzuni kwa huyo mwenza wake kung'oka amefurahi kimoyomoyo.
Mkuu ulipoteza wangapi hao ambao ujawazika ? Pole sana isee sema mlitaka kuichoma nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…