SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma

NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu

Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia

Yt
SINDANO ikaingia kwa Amani

Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii dehane hakufanya ajizi akakumbuka alichomeka sindano south hajaitoa huku lazima aichomoe

KWA KWELI
Wana YANGA tumeshakusamehee kwa YOTEE ulitotufanyiaaa
 

Attachments

  • IMG-20250525-WA0059.jpg
    IMG-20250525-WA0059.jpg
    54.6 KB · Views: 36
Hivi wewe hata kuoga unaoga kweli??maana naona kipele kimepata ukurutu...sio kwa kujikuna huku toka jana...sidhani hata kama umepiga mswaki....
 
Msafara WA mamba na kenge wapoo
 
Hivi wewe hata kuoga unaoga kweli??maana naona kipele kimepata ukurutu...sio kwa kujikuna huku toka jana...sidhani hata kama umepiga mswaki....
Apige wapi mizee kama yeye yakupiga ife tu
 
USIMSHIRIKISHE Mungu kwenye upuuzi wako kaka
USITAJE TAJE MUNGU KWENYE UPUMBAVU KAMA HUO.

Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Kutoka 20:7
 
Back
Top Bottom