SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona.

Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
View attachment 2429260
Kwa hapa Tanzania tungemtafuta mpaka tukome
 
Kuna kitu umekosea ni mwanamke bikra nahisi hii michezo ipo sana Sudan na somalia wao wanatumia msichana bikra wa makamo haswa ya baleghe.
 
Kuna kitu umekosea ni mwanamke bikra ...
Sijakosea mkuu, hii ni kutokana na utamaduni wao, kuna aina mbili mpaka tatu za kutanzua aina flani ya matatizo kwa kutumia wanawake.

So hio ya farasi ni anatakiwa mwenye kubarehe but akiwa amemjua mwanaume mmoja tu, not otherwise.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom