Kwa hapa Tanzania tungemtafuta mpaka tukomeKatika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona.
Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
View attachment 2429260
Kama hawafiki 5 uko tu kama mie, hadi sasa tangu sauti iwe nzito niko na two na ni miaka kama 20 sasaUsiogope Mr. Ila ndiyo ukweli siyo list ndefu sanaa ila asingepona[emoji23]
Unamaanisha list yako ina watu wawili tu mkuu? HongeraKama hawafiki 5 uko tu kama mie, hadi sasa tangu sauti iwe nzito niko na two na ni miaka kama 20 sasa
Ndio. Huwa nastick na mmoja hadi tushindwe kusolve issues. Na innichukua muda kuchukua mwingine sipendi hapa mara hapa, NoUnamaanisha list yako ina watu wawili tu mkuu? Hongera
Sijakosea mkuu, hii ni kutokana na utamaduni wao, kuna aina mbili mpaka tatu za kutanzua aina flani ya matatizo kwa kutumia wanawake.Kuna kitu umekosea ni mwanamke bikra ...
SawaSijakosea mkuu, hii ni kutokana na utamaduni wao, kuna aina mbili mpaka tatu za kutanzua aina flani ya matatizo kwa kutumia wanawake.
So hio ya farasi ni anatakiwa mwenye kubarehe but akiwa amemjua mwanaume mmoja tu, not otherwise.