mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,053
Sasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.
TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
Sasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.
TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
Tusinge Ongea,Wasinge Fanya!
Hii nchi raha Sana.Ukiwa mwizi wa mabilion unalindwa lakini mwizi wa kuku unachomwa moto.
Inasikitisha na inatia simanzi sana.
Kwa haya mambo yanayofanyika ninazidi kukosa imani na sekali ya magufuli.
Kweli wakinyamazia hili suala nitaona kwamba hii serikali haina tofauti na serikali zilizopita kwa tabia ileile ya kulindana.
Unasemaje?ahahaha,hapo kuna mtu analindwa,huyo mtu asipo pona na bunge likamtumbua,basi mkazi wa magogoni nae atafuata
Watanzania wenyewe niwepi unaowazungumzia hawa wanaomchagua MTU kwasababu kampa Kofia au Fulana.....MTU anafurahia majipu yanavyotumbuliwa lkn Sukari inamshinda kununua baada ya Bei kuwa juuSasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.
TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
Wewe hata uufunike uvundo na kuupulizia manukato utanuka tu harufu ya manukato ikiisha. Unajitahidi sana kukitetea chama ili angalau ukipwe fadhila za kuuambulia ukuu wa wilaya lakini nikuhakikishie nafasi hiyo hutopewa kwani huaminiki na unatetea kila hoja. Tumia mbinu ya mzee wa falsafa ya malofa na wapumbavu ya kujaza maji mdomoni ili asiongee sana huenda ukafikiriwa.Kwa hiyo kila kelele zinazopigwa na UKAWA mnataka Rais azifanyie kazi? Toka lini UKAWA wakawa washauri wa Serikali?
Kile kikundi cha Uchakachuaji mikataba cha January Makamba kimepitia kote kinachofanyika sasa ni kumwondoa kitwanga kwenye hiyo kampuni , wamepita kote huko wamenyofoa nyaraka wakabadili majina wakaweka watu wengine kabsa Yaani utashangaa kusikia Mmiliki infosys ni mwingine kabsa , Nchi hii kuna vioja vingi sana .Owena Owena Ccm ni ile ile tutaisoma namba! Wanarudisha mishale ya saa kwa mikono ili isome May 2011! Yetu macho mmeshikwa pabaya! Wamekimbizana kubadili stake holders brela wa infosys ionekane Kitwanga alitoka infosys 2010......JPM kazi anayo kumnusuru manusura wake Kitwanga!
Pesa aliyopewa Lugumi ni nyingi mara 100 ya bei ya kawaida hivyo kakimbia China chapchap kachukua mashine wanazifunga haraka haraka kisha atazuga kuwa zilifungwa zamani au wamepita kurekebisha kasoro ndogo ndogo ,hii ndo tZ bana