Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Singida United ilimekufa kifo cha Mende, naiombea hii isije ikafuata nyayo hizo.
Mkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu
 
Dk 26 ZANACO wanafanya offside ya aibu
 
ZANACO wanashambulia kama nyingu mashambulizi ya kudonoa na kusepa
 
Wawa anaonyesha kiwango chake kwamba nimecheza CAF mara nyingi tu ila jezi ya njano haimpendezi
 
Huwezi kujua labda jamaa ana plan b kwenye uwekezaji anajitosa rasmi kwenye biashara au anatakatisha fedha
Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza
 
Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto
Jina la hovyo kweli ya kishamba ,kama vijana wa o- level wanavyojitungia a.k.a bila vision,nadhani lengo lilikuwa lazima jina iwe Singinda
 
Ila huyu tambwe naona kama yupo slow sasa...umri haudanganyi....mipira kama mitatu ya kugombanianna beki anashindwa
 
Naona kama Wawa anang'ara vile
 
Huyu mshambuliaji Mbrazil ana umri gani ,naona ana idea ya kutafuta goli ,akiendelea hivi Singida watalia
Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani?
 
Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.
Unamaanisha jina limebadilishwa na kuwa Big Star badala ya United iliyoshukaga daraja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…