Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

Unadhani Azam Hana investment kaulize Huko CAF kafika wapi
 
Unadhani Azam Hana investment kaulize Huko CAF kafika wapi
Success katika mpira ni combination ya vitu vingi kaka. Ila investment ni sehemu kubwa. With money u can procure the best players the best coaches and the best club management structure.

Kuwa na facilities is one thing lakini kumbuka organization yoyote ile ni watu. Personnel ni muhimu sana. Je hao azam unazungumzia wana the right personel? Wee timu inasajili wachezaji wakimataifa ambao u aona kabisa hamna quality
 
Naona umejinibu.

Sasa ulichoandka hapa kipeleke upande WA Hao singida [emoji93]
 
Hongereni sana
 
Yanga=Congolese sports club
 
Jina Baya, kosa la kwanza Hilo mmeshaanza ligi na Boko na mmeshapoteza points hapo.


Mkiwa affiliated na CCM tayari mmeshapoteza points zingine 10.


Msimu ujao mnashuka Daraja. Mark this

Tuombeane heri mkuu. Jina litazoelela tu, ni kawaida kitu kigeni kuwekewa wasiwasi. Tuna maana yetu kuita big stars. Muda utasema.
 
Jina Baya, kosa la kwanza Hilo mmeshaanza ligi na Boko na mmeshapoteza points hapo.


Mkiwa affiliated na CCM tayari mmeshapoteza points zingine 10.


Msimu ujao mnashuka Daraja. Mark this

Tuombeane heri mkuu. Jina litazoeleka tu, ni kawaida kitu kigeni kuwekewa wasiwasi. Tuna maana yetu kuita big stars. Muda utasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…