Club yenu ipo mtaa gani?Sijakosea mkuu, yule mvaa skafu ndie kainunua hii incase ulikuwa hujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club yenu ipo mtaa gani?Sijakosea mkuu, yule mvaa skafu ndie kainunua hii incase ulikuwa hujui.
Naomba kufahamu kwa nini mlibadili jina la timu kutoka DTB FC na kuwa Singida Big Stars Fc?. Na hilo jina la DTB lina uhusiano wowote na benk ya Diamond Trust?.View attachment 2263057
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote tangu tukiwa tunaitwa DTB FC, wanahabari na wadau wengine kwa sapoti mliyotupatia. Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.
Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakanisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).
Simu/WhatsApp: +255 713 475715
Karibuni sana.
Hongera Na Karibu JF
Tuchape Kazi
Daaaah hata mie binafsi naielewa Singida,,,,ulipotaja timu kupanda daraja akili ya wote na hata mie kuwa ni Singida united,,,,,Hakikisha hilo wadau wanalijua,,,,kuthibitisha hilo Kuna mchangiaji hapa nae amemtaja mvaa skafu ya bendera ya taifa ni mdau wa Singida united
Sio kweli. Timu haijanunuliwa na mtu binafsi. Acha upotoshaji mkuu.Sijakosea mkuu, yule mvaa skafu ndie kainunua hii incase ulikuwa hujui.
Naomba kufahamu kwa nini mlibadili jina la timu kutoka DTB FC na kuwa Singida Big Stars Fc?. Na hilo jina la DTB lina uhusiano wowote na benk ya Diamond Trust?.
Nawasilisha🙏🏾
Mchukueni Azizi Ki chaap atawainua sana
Haya ndio tusioyataka....yaani ligi ijae wachezaji wakigeni watupu. Huko championship dtb ilikuwa na foreign players sio chini ya saba.Mchukueni Azizi Ki chaap atawainua sana
Wachezaji wakigeni hata wawili tu wanatosha. Wanachangia katika kuleta ushindani baina ya wachezaji wa ndani na nje.Haya ndio tusioyataka....yaani ligi ijae wachezaji wakigeni watupu. Huko championship dtb ilikuwa na foreign players sio chini ya saba.
Hawa wanatakiwa wajikkte kwa wazawa mbona vijana wapo ni suala la kuachana na hawa mawakala bogus na kuwa na watu wenye malengo kweli ya kujenga club. Preferably starting 11 inakuwa na wazawa nane wakigeni watatu basi
Wachezaji wa ndani viwango vyao kiukweli haviridhishi ni vya kawaida.Wachezaji wakigeni hata wawili tu wanatosha. Wanachangia katika kuleta ushindani baina ya wachezaji wa ndani na nje.
Ni kweli viwango vidogo mno. Sasa ili kuwachangamsha ndio maana nimeshauri ni vema wachanganywe na wachezaji wa kigeni.Wachezaji wa ndani viwango vyao kiukweli haviridhishi ni vya kawaida.
Acheni zenu bwana wapo wachezaji wazuri tuu sema nini....hawa mawakala na ten percent zao ndio wanafanya wakigeni wajae tuu.Wachezaji wa ndani viwango vyao kiukweli haviridhishi ni vya kawaida.
Kama DTB iliamua kujitoa je fedha za kuendesha timu Mnatoa wapi?Swali zuri. Baada ya kufuzu Ligi Kuu, Benki ya DTB iliamua isiendelee na ushindani kwenye masuala ya soka, badala yake ijikite zaidi kwenye kazi zake za kibenki. Hiyo ndio sababu tukaona tubadili jina kutoka DTB na kuwa Singida Big Stars FC.
Mfano mzuri ni timu yetu ya taifa, wachezaji ni wakawaida kabisa yani viwango vyao ni vidogo ndiyo maana hata kutoka nje ni changamoto.Acheni zenu bwana wapo wachezaji wazuri tuu sema nini....hawa mawakala na ten percent zao ndio wanafanya wakigeni wajae tuu.
Lengini ni hili unakuwa na wachezaji wakigeni kumi fanya unamlipa kila mchezaji wakigeni dollar 2000 thats $20000 kwa mwezi kama salary. Je hii ukiwekeza kwenye academy ukuze vijana baada ya kiaka mitano unapata quality players...ila hakikisha kweli wanafundishwa vizuri.
Wachezaji wanaandaliwa hiyo ndio siri. Mnasema wachezaji wa bongo hawana viwango je tumeawaandaa ipasavyo? Ni sawa na mtot wa shule ta saint kayumba ukamshindanishe na mtoto wa ist...obviously ataonekana anapwaya tuu