Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za kubadili uraia zinasema, sidhani kama ndani ya muda mfupi namna hiyoHuyu kipa hata mwezi hana kasahiliwa dirisha dogo leo kabadili uraia na tetesi zinasema ni kipa wa yanga yuko Singida kwa mkopo that means msimu ujao diara kipa wa kigeni huyu mtz 😂
This is dangerousSingida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.
Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
View attachment 3210353
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
View attachment 3210354
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.
View attachment 3210380
==
View attachment 3210345
View attachment 3210383
Nafuatilia ndondo Cup toka inachwezwa uwanja wa Bandari Temeke,kwasasa mpaka wanigeria wanacheza ndondo cup.Kama uko Dar hudhuria Ndondo Cup mara mojamoja ukaone vipawa vikubwa kwenye soka.
Usiishie kutazama Kariakoo Derby.
Acha upotoshaji kibu denis kaanza kuichezea taifa stars kabla hata hajaamia simba, kipindi yupo mbeya cityIli kukidhi takwa la kikanuni la kuwa na wachezaji 12 wa kigeni watakaotumika ligi kuu Tanzania bara
Singida Black Star wamelazimika kuwapambania wachezaji wanne wa kigeni ili wapate uraia wa TANZANIA na kupata hadhi ya idadi ya kutumika katika ligi kuu
Tukumbuke pia Kibu Denis ambaye alikuwa raia wa Burundi alipewa uraia ili atumike Simba Sports club
Wachezaji hao ni
1. Emmanuel Keyekeh- Ghana
2. Josephat Arthur Banda- Ivory Coast
3. Mohamed Damaro - Guinea
4. Marouf Tchakei - Togo
Tukumbuke Kuna mechi Singida Black Star walichezesha wachezaji wote wa kigeni isipokuwa goal keeper Mnata, hapa wadau wa soka tulijiuliza kuhusu kanuni ya wachezaji wa kigeni hatukuwa na majibu
Labda hawa wachezaji walipatiwa uraia kimya kimya na nyaraka zipo tFF
Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi kupatikana namna hii,
Yaani sijui walipima vigezo Gani kuwapa wachezaji uraia na kazi Yao ni ya muda mfupi
Acha upotoshaji kibu denis kaanza kuichezea taifa stars kabla hata hajaamia simba, kipindi yupo mbeya city
View: https://youtu.be/v1UZShj0DP0?si=veBZ6hvvfCYMUaRE
Binafsi sina utaalamu wowote ule na masuala ya uhamiaji. Ila kwenye hili suala, sidhani kama hivyo vigezo vimefuatwa.Kama wamefata vigezo vyote ni jambo jema
Mzee fanya hesabu za uwiano.Nafuatilia ndondo Cup toka inachwezwa uwanja wa Bandari Temeke,kwasasa mpaka wanigeria wanacheza ndondo cup.
Hii inaonyesha kua bado tuna uhaba wa wachezaji
Inafikirisha mwigulu kashafanya yakeBinafsi sina utaalamu wowote ule na masuala ya uhamiaji. Ila kwenye hili suala, sidhani kama hivyo vigezo vimefuatwa.
Yaani kirahisi tu unakuwa raia wa nchi nyingine ndani ya miezi michache!! Hapa tukubali tu kuna matumizi mabaya ya madaraka yametumika.
Rejea kwenye Mapinduzi cup,kisha tutafika huko UlayaMzee fanya hesabu za uwiano.
Kuna Watanzania wanacheza mpira Ulaya, je, hiyo inamaanisha Ulaya kuna uhaba wa wachezaji?
Uwiano!
Baadhi ya Masharti:Binafsi sina utaalamu wowote ule na masuala ya uhamiaji. Ila kwenye hili suala, sidhani kama hivyo vigezo vimefuatwa.
Yaani kirahisi tu unakuwa raia wa nchi nyingine ndani ya miezi michache!! Hapa tukubali tu kuna matumizi mabaya ya madaraka yametumika.
Kwa hali hii basi bora kuruhusu tu uraia pacha.Baadhi ya Masharti:
- uwe umeishi Nchini Miezi 12 mfululizo mpk wkt unatuma maombi ya Uraia
- Uwe unajua Kisw na Eng vizuri
- uwe na Mchango kwa Taifa ktk Uchumi, Kijamii, Kiutamaduni....
- Uwe na uhakika wa Kuishi Tanzania baada ya kupata Uraia
Sasa kinachozuia uraia pacha ni kipi kama raia wa nchi nyingine akitimiza haya masharti rahisi hivi anapewa uraia. Hapana aisee kwa jinsi ninavyowajua waafrika magharibi walivyochangamka muda si mrefu watafumuka hapa kutoka kwenye academy zao za mpira watajazana hapa.Baadhi ya Masharti:
- uwe umeishi Nchini Miezi 12 mfululizo mpk wkt unatuma maombi ya Uraia
- Uwe unajua Kisw na Eng vizuri
- uwe na Mchango kwa Taifa ktk Uchumi, Kijamii, Kiutamaduni....
- Uwe na uhakika wa Kuishi Tanzania baada ya kupata Uraia
Mbona vituko sasa hiviSingida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.