Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.

Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.

Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
View attachment 3210353
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
View attachment 3210354
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.
View attachment 3210380

==

View attachment 3210345
View attachment 3210383
This is dangerous
 
UTARATIBU, SHERIA NA MIONGOZO YA KUPATA URAIA WA TANZANIA

Tanzania Citizenship Information

Tanzania citizenship is governed by the Tanzania Citizenship Act, Chapter 357 (Revised Edition of 2002) and it’s Regulations of 1997.
There are three types of citizenship namely:
(a) Citizenship by Birth.
(b) Citizenship by Descent.
(c) Citizenship by Naturalization

Tanzania Citizenship Information

1.0 Citizenship by Birth

2.0 Citizenship by Descent

3.0 Citizenship by Naturalization

3.3 Renunciation of Tanzania Citizenship

3.4 Deprivation of Citizenship of Citizens by Naturalization

1.0 Citizenship by Birth

Any person born in the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of the United Republic if at the time of his birth one of his parents is or was a citizen of United Republic of Tanzania.


2.0 Citizenship by Descent

Any person born outside the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of the United Republic by descent if one of his parents is a citizen of the United Republic of Tanzania by birth or naturalization.


3.0 Citizenship by Naturalization

Any person who is not a citizen of Tanzania whether by birth or by descent may apply for Tanzania citizenship by naturalization to the Minister responsible for citizenship matters.
CONDITIONS FOR CITIZENSHIP BY NATURALIZATION
Qualifications for a foreigner who applies for Tanzania Citizenship are:
i. That he has resided in the United Republic throughout the period of twelve months immediately preceding the date of application,
ii. That during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the United Republic for periods amounting in the aggregate do not less than seven years,
iii. That he has an adequate knowledge of Kiswahili or the English language,
iv. That he is of good character,
v. That, in terms of his past and potential contribution to the national economy, or scientific and technological advancement and to the national social and cultural welfare, he would be a suitable citizen of the United Republic,
vi. That he intends, if naturalized to continue to reside permanently in the United Republic.
APPLICATION PROCEDURES
Applications for Tanzania citizenship undergo the following procedures:-
i. An applicant fills in prescribed Forms.
ii. The applicant submits the application to the Ward Executive Secretary or Sheha (for the case of Zanzibar) where the applicant resides.
iii. The Ward Executive Secretary or Sheha submits the application to the District Immigration Office and the applicant pays a submission fee of USD 1500 which is non-refundable.
iv. The applicant publishes in two consecutive issues of the daily news papers registered in Tanzania Main land and Zanzibar a notice of intention to apply for naturalization.
v. The applicant has to be interviewed by the District Defense and Security Committee.
vi. The District Immigration Officer forward the application to the Regional Immigration Officer who forwards the said application to the Regional Defense and Security Committee for further scrutiny.
vii. The Regional Immigration Officer forwards the application to the Commissioner General of Immigration for his recommendation to the Minister.
viii. For the case of Zanzibar before the application is sent to the Commissioner General of Immigration, the Commissioner of Immigration Zanzibar forwards the application to the office of the Second Vice President for recommendation and it is later submitted to the Commissioner General of Immigration for his recommendation to the Minister.
ix. The Commissioner General of Immigration forwards the recommended application to the Minister for final decision.
3.1 Naturalization of Women Married to Citizens
A woman married to a citizen of the United Republic shall at any time during the life time of the husband be entitled upon making an application in a prescribed form, to be naturalized as a citizen of the United Republic.
APPLICATION PROCEDURE FOR A MARRIED WOMAN:

The applicant fills in prescribed Forms.

The applicant may submit the application to the District, Regional immigration office, Head office Zanzibar or at the Headquarters and pays a submission fee of USD 1500 which is non-refundable.

iii. The applicant publishes in two consecutive issues of the daily news papers registered in Tanzania Main land and Zanzibar a notice of intention to apply for naturalization.

The District, Regional Immigration Officer or Commissioner of Immigration Zanzibar forwards the application to the Commissioner General of Immigration for his recommendations.

The Commissioner General of Immigration forwards the application to the Minister for final decision.

REQUIREMENTS:
The application for Tanzania citizenship by a married woman should be attached with:

Proof of husband's citizenship.

Marriage certificate registered in Tanzania.

iii. A copy of valid national passport

A proof of valid immigration status.

Five recent passport size photographs.

3.2 Naturalization of Minor
The minister may cause the Minor child of any citizen of the United Republic to be naturalized as a citizen of the United Republic upon application made in the prescribed manner by a parent or guardian of a child.
APPLICATION PROCEDURES FOR A MINOR:

The parent or guardian fills in prescribed Forms.

The parent or guardian may submit the application to the District, Regional immigration office, Head office Zanzibar or at the Headquarters.

iii. The District or Regional Immigration Officer, Commissioner Zanzibar forwards the application to the Commissioner General of Immigration for recommendations.

The Commissioner General of Immigration forwards the application to the Minister for final decision.

NOTE:
A Parent or guardian must be a citizen and he has to proof that he is a citizen of the United Republic.
REQUIREMENTS:
The application for Tanzania citizenship for a minor should be attached with:

Proof of citizenship of parent or guardian

Birth certificate of a child

iii. A valid Immigration status

Five recent passport size photographs

The parent or guardian pays a submission fee of USD 1500 which is non-refundable.

3.3 Renunciation of Tanzania Citizenship

The procedures for renunciation of Tanzania citizenship:

Applicant fills in prescribed forms.

Submission of the application forms to the Immigration Office, Embassies/High commission where an applicant resides,

iii. Submission of the application forms to the Commissioner General of Immigration.

The Commissioner General of Immigration forward the application to the Minister who registers the declaration made by applicant.


REQUIREMENTS
The application for renunciation of Tanzania citizenship should be attached with:

Approval of the grant of citizenship from the other Country.

Return of Tanzania passport.

iii. Five recent passport size photographs.

Payment of renunciation fees of USD 60.

3.4 Deprivation of Citizenship of Citizens by Naturalization

The Minister may by order deprive the citizenship of any citizen of the United Republic who is a citizen by naturalization if he is satisfied that the certificate of naturalization was obtained by means of fraud, false representation, or concealment of any material facts or else as provided under Tanzania Citizenship Act of 1995 and its Regulation of 1997.


SOURCE; UHAMIAJI TANZANIA WEBSITE
 
Nikiangalia maoni ya baadhi ya watu nachoka kabisa kweli uzalendo kwenye nchi hii hamna tena. Diaspora ni baba zetu, mama zetu, dada zetu, kaka zetu, n.k. na wengi wao wamezaliwa, wameishi, wamesomea elimu za awali hapa hapa Tanzania lakini kupewa uraia pacha dana dana mtindo mmoja wanaambiwa eti wapewe hadhi maalum. Na wengi wamewekeza na bado wanawekeza hapa Tanzania kwa sababau ndio nyumbani kwao kwa asili na bado wana ndugu zao hapa. Lakini ajabu na kweli mtu anatoka Ghana anakuja kucheza mpira ndani ya miezi sita tu anapewa uraia na watanzania wanaona sawa.

Je ni vigezo gani hivyo Diaspora wameshindwa kutimiza lakini hawa wachezaji wameweza kutimiza tena kwa muda mfupi sana ili na wao Diaspora nao wambiwe watimize? Je hao wanaowapigia debe hao wachezaji kwani wasiwapigie debe Diaspora ambao ni ndugu zetu kabisa wa damu.

1. Hivi tumeshajiuliza huu mchezo waliouanza Singida Black Stars serikali itaweza kweli kuhimili vishindo siku Simba na Yanga zikianza kuwabadilisha uraia wachezxaji wao wa kigeni? Au ndio imeanzia Singida Black Stars kupima upepo ili ikija Simba na Yanga tukija kuhoji tuambiwe mbona Singida walivyofanya hamkupiga kelele?
2. Je kwa mtindo huu si itafika siku timu kama Simba au Yanga itakuwa na wachezaji wote 30 wanaosemekana raia wa Tanzania lakini wakiwa ni wageni waliobadilisha uraia
3. Vipi suala la usalama. Je hao wachezaji wamechunguzwa kwa kiasi gani hasa ukizingatia wamekaa muda mfupi sana hapa Tanzania hata mwaka hawajamaliza. Kwangu mimi kwa hili la usalama Kibu na hata ingekuwa Morison walau hawa wamekaa muda mrefu na naamini vyombo vya usalama vitakuwa vimeshawachunguza hata bila wao kujua.
4. Je suala la ajira kwa vijana wanaotegeme michezo hususani mpira wa miguu. Je serikali haioni kuwa sasa hivi kuna tatizo la ajira na baadhi ya vijana wamejiajiri kupitia michezo sasa kama watakuja wachezaji kutoka nje wanakaa miezi sita tu wanapewa uraia hawa vijana wetu waende wapi? Na hili suala mbona linapingana na matamko ya viongozi ambao kila siku wanapiga kelele kuwa vijana wajiajiri kupitia michezo.
5. Je nini msimamo wa TFF, BMT na wizara ya michezo na hususani waziri wa mchezo mwenyewe juu ya sheria ya wachezaji 12 wa kigeni. Je hii sheria/kanuni bado ipo na kama ipo bado itaendelea kufanya kazi na huku wajanja wameshajua namna ya kuikwepa. Je hawaoni sasa ni vyema ikabadilishwa na kuruhusu timu iwe na wachezaji idadi yoyote ile wa kigeni.
6. Vipi wachambuzi wa michezo nao wanasemaje kuhusu hili maana kwa muda mrefu hoja yao ilikuwa kuwa idadi ya wachezaji ipunguzwe kutoka 12 iwe chini ya hapo. Na wachambuzi wengine wakaenda mbali zaidi kutaka hata baadhi ya nafasi uwanjani kwa mfano golikipa iwe ni kwa wazawa tu. Je kwenye hili maoni yao nini.
7. Miaka ya nyuma nikiwa mdogo nilikuwa naona matangazo magazetini raia wa nchi mbali mbali wakitoa matangazo magazetini ya kuomba uraia kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi. Na ilikuwa inaelezwa wazi kwenye hayo matangazo kuwa mtu yoyote mwenye kipingamizi na hayo maombi awasilishe kwa waziri wa mambo ya ndani na anwani yake inakuwepo kwenye hilo tangazo. Je kwa hao wachezaji wa Singida Black Stars kuna mtu yoyote aliyewahi kuliona na kama yupo atubandikie hapa. Au taratibu zimebadilika wengine hatujui?
8. Mwisho aliye karibu na Mwabukusi na TLS yake atusaidie sisi mbumbu wa kisheria hili limekaaje kisheria na nini hasara zake au faida zake kwa muda mfupi na mrefu ujao.
9. Je wabunge wetu nao wanasemaje juu ya hili?

Ni mtizamo tu..
 
Kama uko Dar hudhuria Ndondo Cup mara mojamoja ukaone vipawa vikubwa kwenye soka.
Usiishie kutazama Kariakoo Derby.
Nafuatilia ndondo Cup toka inachwezwa uwanja wa Bandari Temeke,kwasasa mpaka wanigeria wanacheza ndondo cup.
Hii inaonyesha kua bado tuna uhaba wa wachezaji
 
Ili kukidhi takwa la kikanuni la kuwa na wachezaji 12 wa kigeni watakaotumika ligi kuu Tanzania bara
Singida Black Star wamelazimika kuwapambania wachezaji wanne wa kigeni ili wapate uraia wa TANZANIA na kupata hadhi ya idadi ya kutumika katika ligi kuu

Tukumbuke pia Kibu Denis ambaye alikuwa raia wa Burundi alipewa uraia ili atumike Simba Sports club

Wachezaji hao ni
1. Emmanuel Keyekeh- Ghana

2. Josephat Arthur Banda- Ivory Coast

3. Mohamed Damaro - Guinea

4. Marouf Tchakei - Togo

Tukumbuke Kuna mechi Singida Black Star walichezesha wachezaji wote wa kigeni isipokuwa goal keeper Mnata, hapa wadau wa soka tulijiuliza kuhusu kanuni ya wachezaji wa kigeni hatukuwa na majibu
Labda hawa wachezaji walipatiwa uraia kimya kimya na nyaraka zipo tFF

Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi kupatikana namna hii,
Yaani sijui walipima vigezo Gani kuwapa wachezaji uraia na kazi Yao ni ya muda mfupi
Acha upotoshaji kibu denis kaanza kuichezea taifa stars kabla hata hajaamia simba, kipindi yupo mbeya city

View: https://youtu.be/v1UZShj0DP0?si=veBZ6hvvfCYMUaRE
 
Nafuatilia ndondo Cup toka inachwezwa uwanja wa Bandari Temeke,kwasasa mpaka wanigeria wanacheza ndondo cup.
Hii inaonyesha kua bado tuna uhaba wa wachezaji
Mzee fanya hesabu za uwiano.

Kuna Watanzania wanacheza mpira Ulaya, je, hiyo inamaanisha Ulaya kuna uhaba wa wachezaji?

Uwiano!
 
Afisa habari wa klabu ya Singida Black Stars, Hussen Massanza amethibitisha kuhusu wachezaji wa kigeni wa klabu hiyo kubadilisha uraia wao na kuwa watanzania.

Miongoni mwa wachezaji hao waliobadilisha uraia wao ni pamoja na Arthur Bada aliyekuwa raia wa Ivory Coast , Emmanuel Keyekeh aliyekuwa raia wa Ghana , Damaro Mohamedi aliyekuwa raia wa Guinea , pamoja na Golikipa Amas Obasogie (25) ambaye alikuwa raia wa Nigeria .
 
Binafsi sina utaalamu wowote ule na masuala ya uhamiaji. Ila kwenye hili suala, sidhani kama hivyo vigezo vimefuatwa.

Yaani kirahisi tu unakuwa raia wa nchi nyingine ndani ya miezi michache!! Hapa tukubali tu kuna matumizi mabaya ya madaraka yametumika.
Baadhi ya Masharti:
  1. uwe umeishi Nchini Miezi 12 mfululizo mpk wkt unatuma maombi ya Uraia
  2. Uwe unajua Kisw na Eng vizuri
  3. uwe na Mchango kwa Taifa ktk Uchumi, Kijamii, Kiutamaduni....
  4. Uwe na uhakika wa Kuishi Tanzania baada ya kupata Uraia
 
Baadhi ya Masharti:
  1. uwe umeishi Nchini Miezi 12 mfululizo mpk wkt unatuma maombi ya Uraia
  2. Uwe unajua Kisw na Eng vizuri
  3. uwe na Mchango kwa Taifa ktk Uchumi, Kijamii, Kiutamaduni....
  4. Uwe na uhakika wa Kuishi Tanzania baada ya kupata Uraia
Kwa hali hii basi bora kuruhusu tu uraia pacha.
 
Baadhi ya Masharti:
  1. uwe umeishi Nchini Miezi 12 mfululizo mpk wkt unatuma maombi ya Uraia
  2. Uwe unajua Kisw na Eng vizuri
  3. uwe na Mchango kwa Taifa ktk Uchumi, Kijamii, Kiutamaduni....
  4. Uwe na uhakika wa Kuishi Tanzania baada ya kupata Uraia
Sasa kinachozuia uraia pacha ni kipi kama raia wa nchi nyingine akitimiza haya masharti rahisi hivi anapewa uraia. Hapana aisee kwa jinsi ninavyowajua waafrika magharibi walivyochangamka muda si mrefu watafumuka hapa kutoka kwenye academy zao za mpira watajazana hapa.

Lakini kati ya hao wachezaji wanne kama sikosei hakuna hata mmoja aliyetimiza sharti namba moja naomba kusahihishwa kwenye hili. Anyway sasa hivi kila mtu kimya kama hakuna tukio lolote lile limetokea. Lakini subiri sasa hao Singida Black Stars washinde au watoke sare na Simba au Yanga hakika hili kaburi litafukuliwa na nchi nzima ndio utasikia malalamiko na hapo ndio utajua unafiki wa watanzania.
 
Ndugu wadau wa Jamii Forums,

Katika muktadha wa hivi karibuni wa Singida Black Stars kuwasajili wachezaji wa kigeni zaidi ya 15 na baadhi yao kupata uraia wa Tanzania kwa haraka, ni muhimu kuzingatia sheria za uhamiaji za nchi yetu.

Sheria za Uhamiaji za Tanzania zinaweka wazi mchakato wa kupata uraia, ambao unapaswa kufuatwa kwa makini. Uraia wa kawaida unahitaji mchezaji kukaa nchini kwa kipindi fulani na kuonyesha uhusiano wa karibu na nchi, pamoja na kutimiza vigezo vingine vya kisheria. Hata hivyo, inashangaza kuona wachezaji wanapata uraia kwa muda mfupi tu, jambo ambalo linaweza kuleta maswali kuhusu uwazi wa mchakato huu.

Klabu kama Azam FC na nyingine zinapaswa kufuata taratibu hizi kwa kuzingatia sheria zilizopo. Ikiwa hatua hizi hazifuatwi, tunaweza kujikuta tukihatarisha ushindani wa ligi yetu na kuathiri maendeleo ya wachezaji wa ndani.

Ni muhimu kwa wadau wote, ikiwa ni pamoja na viongozi wa vilabu, mashabiki, na mamlaka husika, kushirikiana ili kuhakikisha kwamba mchakato wa uhamiaji unazingatiwa kikamilifu. Hili litasaidia kudumisha heshima na uwazi katika soka letu.

Nawasilisha mada hii ili kupata mawazo yenu kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha hali hii.
 
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.

Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.

Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.

==

View attachment 3210345
View attachment 3210383
Mbona vituko sasa hivi
 
Back
Top Bottom