Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Kama ni kweli wameitoa bendera, basi itakuwa wameitoa ili kuepusha shari. Hakuna Sheria inayowabana. Hivi ni kosa au ni kinyume cha Sheria kwa hospitali kuendeshwa kwa misaada? Kama Taratibu za kuendesha Hospitali zimezingatiwa ww ulitakaje na ukiwa kama nani? Hivi zile Trillion mbona huzifuatilii? i.e. Mbona Chekecho lako linachuja mbu lakini Tembo wanapita??
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Haya mambo yanaanzia kwa Mr Burundi alafu yanaelekea visiwan
 
Mnuka mavi huna lolote la kusema humu mwenye akili akakuelewa. Endelea kujileta kwangu nikutoboe utumbo, maana naona unakutana na wanaokupapasa
Aakh! Tayari uzi umeshaharibika.Dah!
 
Ushaolewa?? Naweza kupata namba zako??
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Waungwana naomba mnibu kitalam si kufata upepo.Je ushoga unajulikana kwa nguo,bendera au rangi na siyo matendo?Kama ni rangi basi nadhani ni zile zifananazo na upinde wa mvua basi kanisa katoliki ludewa mkoa wa njombe linarangi hizo.
 
Afu kudadeki watu wanapenda kudiskas ishu za ushoga!!!! Uzi ushatembea hatareeee.

Ukiona hivi ujue wanapenda.
Not exactly broo; Ukiona hivi ujue hao hawana kazi za kufanya. Yan ni kwamba hicho ni kijiwe chao i.e. Mijadala ihusuyo ushoga. Huko kwingine hawana hoja za kuchangia -angalia hata Idadi ya nyuzi au Mada zihusuzo au zinazogusia kipenge hicho ni nyingi sana hapa jukwaani.
 
Mihemko ya wajinga ni shida sana.

Wanafokea mpaka bendera.
 
Waungwana naomba mnibu kitalam si kufata upepo.Je ushoga unajulikana kwa nguo,bendera au rangi na siyo matendo?Kama ni rangi basi nadhani ni zile zifananazo na upinde wa mvua basi kanisa katoliki ludewa mkoa wa njombe linarangi hizo.
Si kila anayevaa nguo za rangi za njano na kijani ni shabiki wa Yanga au mwana C.C.M.ingawaje mashabiki wa Yanga na wana C.C.M wanavaa nguo za rangi hizo Mbona nembo za rangi za upinde wa mvua zilikuwepo tangu zamani hata kabla ya harakati za kutetea ushoga?
 
Ugumu wa maisha unahusiana vipi na kuwa straight? Can you elaborate a little? 🤔
 
Hivi hii quotes ni yangu, au umekoseaaaa???
Angalia upyaaa kwani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…