OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamaa wamejipanga, wanahamasisha mpaka Mod kuunga uzi. Ni kama project hivi. DaahAlafu kama wamejipanga wanavamia kila uzi wa hizi issue [emoji36]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app