Kipenda roho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 488
- 939
Uwe unauliza mkuu. Hiyo siyo bendera ya LGBTQA+ bali ni bendera ya PEACE (PACE)
View attachment 2537545
Itakuwa hiyo hospital inamilikiwa na tundu, si ndio?Hahahah tundu
USSR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Keyboard Worriors akina Kinuju, ussr, kijakazi, Stroke, countrywide, nigrastrata, corticopotine, kamanda asiyechoka na Shujaa mwendazake nendeni sasa mkabomoe hiyo Hospitali[emoji28][emoji28][emoji28]
PoaPumbavu ! Aliye kuambia nchi hii inahitaji peace flag nani ? This country doesn’t need it, take such flags to Ukraine [emoji1255]
kipindi hiki taifa lipo kwenye mkanganyiko
Unaogopa kufirwa?Ht mm nilikuwa na bangili zangu zina rangi rangi nyingi kwakweli nimeamua kuziharibu na kuzitupa kbs.
Bado ugawe na hiyo nyumba kwa hofu za usichokijua.anaye elewa vizuri kuhusu hao LGBTIQA anieleweshe vizuri nielewe, offical rangi yao ni ipi?
na offical bendera yao ni ipi?
Maana sahivi kila kitu cha rangirangi kinahusishwa na hao wapuuzi,
nilikuwa na mashati yangu ya batiki ya kutimbia church na kwenye interview za sirikali na yenyewe nimeyagawa kwa kuhofia kutangaza agenda za watu
kazi ipo mkuu sijui kama tutafika kweliHt mm nilikuwa na bangili zangu zina rangi rangi nyingi kwakweli nimeamua kuziharibu na kuzitupa kbs.
Pumbavu ! Aliye kuambia nchi hii inahitaji peace flag nani ? This country doesn’t need it
Hiyo ranging ya kijani imaanisha nini kwa sababu hata bendera ya CCM in kijani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo nyumba anipe mimi.Bado ugawe na hiyo nyumba kwa hofu za usichokijua.
Mshikaji na wewe ni gay?????Kumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]
Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.
Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
HAKUNA cha BURE kila BURE Ina consequences zake, ukifutiwa DENI kuna karatasi wanakupa unasaini
Kinachofuata ni kigeuzwa wote kua machoko na mabwabwa maana ulishasaini tayari, ukileta ubishi utaulizwa si ulisaini mwenyewe lakini au ulilazimishwa?
Duuuh kwahiyo mdogo wangu Una enjoy kabisa???Kumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]
Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.
Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
[emoji1073] [emoji1229] kati ya hizo moja ni benderà ya France nyingine Netherlands unaweza kuzitofautisha? mambo mengine tupunguze nongwaKulikuwa na haja gani ya kuweka bendera hata kama ni ya peace tena hospitalini tena kwa kipindi hiki taifa lipo kwenye mkanganyiko? Hiyo peace ina kazi gani hospitalini?
cocastic umependeshaaaCcm ina support ugasho View attachment 2537633
Naona tunaongelea mambo mawili tofauti; mimi nimesema lisu ni kiongozi wa mashoga Africa, ulaya na Asia, wewe unaongela katiba mpya!Acha kumchafua lissu ...lissu ni mtu makini sana hakusema kama anaruhusu ushoga ila amesema je katiba inasemaje kuhusu hili..ndio maana wanataka katiba mpya