Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa msimamo ungekua tofauti na huu, ungeshaona wametoaaa. Ndo huo msimamo huo uko valid had sasa,

Poleeeeeeh sanaaaaa.
Msimamo wa serikali uko valid hadi sasa "Hongera".

Mama Samia au Magu (R.I.P) ndo seeikali yenyewe ila tukiwavua robes zao za siasa/userikali tukawabakiza na robes zao za uzazi.Unafikiri mama Samia au Magu au Kikwete kuna anayetamani hata kuota tu kuwa mtoto wake kawa kama wewe?

Yawezekana umezaliwa hivyo ila umezaliwa na tatizo,ni sawa na unazaa mtoto kipofu au una utindio wa akili au ana jinsia mbili.Kama mzazi kitakuuma maisha yako yote.

Jishaue hapa JF ila kafanyie haya mashauzi yako kariakoo ndo utajua wewe sio wa kawaida mzee mwenzangu
 
Kwahiyo watu mmeanza kuteseka na bendera,kwamba ukiona bendera mkundugu wako unawashwawashwa unataka kupelekewa moto,upuuzi umewajaa. Fanyeni kazi mjikomboe na umasikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao wako buzzy na ushogaa, umaskini sio shda zao.

Wanaishia kutesekaaa.
 
Swali lako liko nje ya nilicho andika, siwezi kujibu.

Ukitaka tuendelee, tuzungumzie kuhusu msimamo wa serikali.
Sawa nilihitaji kufahamu maana hii issue naona unaifurahia sana hivi kweli utafurahi kuwa na mtoto wa aina hiyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa, mie tenaaaa. Lol
Kuna vitu kuhusu wewe navipenda.
You seem cool and Class.
Wish usingekua shoga.
Huwa nakuonea huruma sana mkuu.Na unaonekana una roho nzuri tu mwenyewe masikini.Daah!
Anyways live your life uncle.
 
Wanaume wanalindaje familia zao wakat wao wenyewe ni waliwaji?
Mkuu kwenye Comment yangu nili address ushauri kwa WANAUME(wanatunza,wanalinda,wanaongoza na kutia wake/Wapenzi wao ipasavyo).

Hao unaowazungumzia wewe sio WANAUME.

Being Male is by birth, Becoming a Man is a Choice.
 
Msimamo wa serikali uko valid hadi sasa "Hongera".

Mama Samia au Magu (R.I.P) ndo seeikali yenyewe ila tukiwavua robes zao za siasa/userikali tukawabakiza na robes zao za uzazi.Unafikiri mama Samia au Magu au Kikwete kuna anayetamani hata kuota tu kuwa mtoto wake kawa kama wewe?

Yawezekana umezaliwa hivyo ila umezaliwa na tatizo,ni sawa na unazaa mtoto kipofu au una utindio wa akili au ana jinsia mbili.Kama mzazi kitakuuma maisha yako yote.

Jishaue hapa JF ila kafanyie haya mashauzi yako kariakoo ndo utajua wewe sio wa kawaida mzee mwenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu teseka taratibu, makasiriko ya nn hapa?

Mashoga wako very proud uraiani na mtaani mbna hawafanywi chochote?? Kwenye bar, clubs, hotel, cafe wanajifaragua wazi wazi. Sometimes had events ambazo viongozi wa serikali wanakuwepo na wao mashoga wanakuwepo mbna hawafanywi chochote, ndo kwanza wanachekeana kwa tabasamu muruaaa??

Poleeeeee sanaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wazungu wakiweka ivo vitu hospitali wanamwaga pesa kweri kweri
Ipo hospitali moja temeke nyuma kule kuna department ya kuhudumia MSM
 
Sawa nilihitaji kufahamu maana hii issue naona unaifurahia sana hivi kweli utafurahi kuwa na mtoto wa aina hiyo?
Km yeye mtoto ameamua mie nipinge iwejee? Huyo mtoto pia ana maamuzi na maisha binafsi, hapaswi kuingiliwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu teseka taratibu, makasiriko ya nn hapa?

Mashoga wako very proud uraiani na mtaani mbna hawafanywi chochote?? Kwenye bar, clubs, hotel, cafe wanajifaragua wazi wazi. Sometimes had events ambazo viongozi wa serikali wanakuwepo na wao mashoga wanakuwepo mbna hawafanywi chochote, ndo kwanza wanachekeana kwa tabasamu muruaaa??

Poleeeeee sanaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo la kujifaragua ndo reason moja wapo ya kuwachukia MSM
Mbona straight popote tulipo iwe bar wapi hatujifaragui
Kwanini bar nzima utakuta mashoga 3 ila wanajifaragua kila mtu ajue wao ni mashoga?
 
Back
Top Bottom