Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Mungu amlaze mahala pema peponi. Damu yake iwe kirutubisho cha haki katika nchi hii. "Freedom is coming soon".
 
Cha ajabu wauawaji wa yule wa sisiemu walipatikana ndani siku nne tu, huyu sasa tusubiri uone kama watapatikana
 

Kama mgombea mwenza ndo yule mtekaji basi inabid amulikwe.
 
Duu! tunaliomba jeshi la polis kuwakamata wahusika wote haraka iwezekanavyo ili sheria ichukuwe mkondo wake!
 
Nasubiri tamko la Magufuli la kukamata wauaji haraka kama alivyotamka alipouawa yule wa Iringa hapo ndio tutajua maendeleo yana chama au la
Mbona Mbowe na Lissu hawakutamka lolote kwenye vifo vya makada wa CCM?
 
Ugomvi wa mashamba unamtoa mtu uhai!!
 
jamani jamani! hata mtu wa kawaida wanapigwa mapanga, izi conclusion utadhan ni kisiasa muache sasa!
 
Hawakawii kusema marehemu alifumaniwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…