Sijaona point ya maana. Aliyeona anioneshe.
Watanzania achen kuvaa barakoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua nini zaidi ya lema ,mdude, msigwa ndio wanawaowafundisha siasaJe ,wajua? Kua Nicaragua, Turkmenistan, Estonia,Ujerumani, Sweden,Thailand wanaongozwa na huyu tulie mchagua?
Jembe si jembe?
Twende kazi...Wapinzani kaisomeni namba.
View attachment 1454980
Kama kuna chanzo cha huu utafiti(hii habari),basi mnaojua naomba mtujuze tukasome kwa undani.
Maneno yamemchoma hadi kaamua kutoka pangoni .
Achana nao hao vitamin C inapatikana ukipigwa jua.....aaaahhhhHuu ndio ukweli kama hujui bora ungefanya utafiti kabla ya kupinga pinga soma kijana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ni kweli, Mkapa!! Mkapa Mkapa mbona umetutesa hivi?Tanzania Imepatikana Aiseee!!
Mkapa ! Mkapa ! Mkapa ! Tulikukosea Nini Hasa Watanzania ?
We mwenyewe umeandika niniJF ukisoma unaweza sikitika sana, uwezo wa watu kufikiri mdogo sana, sielewi huu ugonjwa utaponywa na nn, most are so weak to think and deliver some constructive comments & ideas, hatari sana
Tuwaelimisha labda waposikia JPM awajua kua anaenda mpaka Ulaya na Asia..nimeona Raia wa Estonia wemevaa tisheti zina picha ya Jembe na ili wanaweza kupingaWanajua nini zaidi ya lema ,mdude, msigwa ndio wanawaowafundisha siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo imesimamisha uchumi wa dunia nzima sasa. Imekufanya wewe leo unanawa mara mia kidogo,ilimfanya Magufuli akakimbilia chato wa miezi miwili. Na sasa inamsubiri kwa hamu Dodoma.Corona Haina akili za kumfuata mtu halafu imuoneshe yenyewe ni Nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu lazima imshikishe adabu. Anaidharau sana.
Tuwaelimisha labda waposikia JPM awajua kua anaenda mpaka Ulaya na Asia..nimeona Raia wa Estonia wemevaa tisheti zina picha ya Jembe na ili wanaweza kupingaWanajua nini zaidi ya lema ,mdude, msigwa ndio wanawaowafundisha siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hupiganii tena respurators,unahoji vitu dhahiri kabisaView attachment 1454980
Kama kuna chanzo cha huu utafiti(hii habari),basi mnaojua naomba mtujuze tukasome kwa undani.
Ile ni dawa mimi nilikuwa nakohoa,naumwa kichwa. Ile dawa imeniponesha kabisaa.Mtengenezee ile dawa yako umpelekee.
Nb;halafu nimepona tayar ujue
Yaani hatari sana...watu sasa tuvae tisheti zenye picha yake kabisa kama huko Ujerumani, Estonia,Nicaragua etc
Kwani unaivaa 24 heures/24? Unaivaa pale social distancing inapokuwa haipo. Mfano Magu leo anawaambia wananchi ambao wamesongamana eti kutokuvaa Barakoa ni poa tu.Mimi mwenyewe sivai barakoa Tena doctor kaniambia nikizoea kuivaa nitapata ugonjwa wa mapafu wa kushindwa kupumua vizuri kwani oxygen hauwezi pita vizuri kwenye barakoa akaniambia vaa saa moja toa pata fresh air kuepuka chocking ya mapafu.
Ukianza kushindwa kupumua utatuhumiwa corona kumbe barakoa haipitishi oxygen vizuri na inachanganyika na carbon dioxide sababu hewa unayotoa Ni carbon na inayoingia oxygen zote zashindwa carbon haitoki vizuri na oxygen haiingii vizuri matokeo una suffocate mapafu ukilala usiku waweza sikia uchovu usio wa kawaida
Hongera Magufuli kwa kutovaa barakoa una imani kubwa kwa Mungu umenipa changamoto sitavaa barakoa tena
Asante mama ndo nakupendaa[emoji8][emoji8]Ile ni dawa mimi nilikuwa nakohoa,naumwa kichwa. Ile dawa imeniponesha kabisaa.
Magufuli mbona anaitumia tayari.