Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

JF ukisoma unaweza sikitika sana, uwezo wa watu kufikiri mdogo sana, sielewi huu ugonjwa utaponywa na nn, most are so weak to think and deliver some constructive comments & ideas, hatari sana
 
Jemidari huyooo!!! chadema matumbo ya kuhara muda huu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
JF ukisoma unaweza sikitika sana, uwezo wa watu kufikiri mdogo sana, sielewi huu ugonjwa utaponywa na nn, most are so weak to think and deliver some constructive comments & ideas, hatari sana
We mwenyewe umeandika nini
 
Mimi mwenyewe sivai barakoa Tena doctor kaniambia nikizoea kuivaa nitapata ugonjwa wa mapafu wa kushindwa kupumua vizuri kwani oxygen hauwezi pita vizuri kwenye barakoa akaniambia vaa saa moja toa pata fresh air kuepuka chocking ya mapafu.

Ukianza kushindwa kupumua utatuhumiwa corona kumbe barakoa haipitishi oxygen vizuri na inachanganyika na carbon dioxide sababu hewa unayotoa Ni carbon na inayoingia oxygen zote zashindwa carbon haitoki vizuri na oxygen haiingii vizuri matokeo una suffocate mapafu ukilala usiku waweza sikia uchovu usio wa kawaida

Hongera Magufuli kwa kutovaa barakoa una imani kubwa kwa Mungu umenipa changamoto sitavaa barakoa tena
Kwani unaivaa 24 heures/24? Unaivaa pale social distancing inapokuwa haipo. Mfano Magu leo anawaambia wananchi ambao wamesongamana eti kutokuvaa Barakoa ni poa tu.
 
Back
Top Bottom